Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

Prof angalikuwa na akili na utu asingalikubali kuwa mtu wa namna hii.He is the only guy anakuwa hana ofisi nadhani maana si maalumu naamini hata ofisi itakuwa shida.Kwa nini ule kodi ya watanzania bila sababu kisa madaraka ? Aonyesge uungwana abakie kuwa Mbunge tu itampa hadhi zaidi naamini.
 
Pengine wameogopa 'kumpumzisha' isije ikasemwa tena JF kuwa ni kweli walim-Mwakyembe! Hahahaaa
 
Kama hana wizara maalumu basi nayeye atakua hana kazi maalumu yeyote itakayojitokeza twendee tu!
 
Hapa ni kua Kayanza Kayanda Peter Pinda anapwaya kama beki 5,
So kocha kaamua kumshusha namba 4 amsaidie WM.
 
[h=2]Republic of China (Taiwan)[/h]In the Executive Yuan of the Republic of China there are several such ministers, at one time. Currently, the ROC's ministers without portfolio are:[SUP][6][/SUP]
  • Ovid Tzeng (曾志朗)
  • Chang Jin-fu (張進福)
  • Kao Su-po (高思博), also serving as Minister of Mongolian and Tibetan Affairs
  • Fan Liang-shiow (范良琇), also serving as Minster of Public Construction Commission
  • James Cherng-Tay Hsueh (薛承泰), also serving as Governor of Fujian Province
  • Liang Chi-yuan (梁啟源)
  • Lin Junq-tzer (林政則), also serving as Governor of Taiwan Province
One of these posts is typically, but not always, reserved for the chairperson of the important Council for Economic Planning and Development, who is usually considered a cabinet member but not officially so, and so requires the post to have the actual powers of a cabinet member.
huu upuuzi unafaida yoyote kwa bibi yangy kijini Ambaye ana makato ya kote toka kwnye kila bidhaaa anayonunua ?? this is tZ not Fu***n china men , acha kushabika upuuzi toka ka kwa mpu**I
 
Hapa ni kua Kayanza Kayanda Peter Pinda anapwaya kama beki 5,
So kocha kaamua kumshusha namba 4 amsaidie WM.
 
unakumbuka majukumu ya office messengers, i think it will be the same.
 
Wakati wa Nyerere hao mawaziri kuna wakati walikuwa wanakuwa hata wawili kwenye baraza la mawaziri. Atafanya kazi yoyote atakayopewa na Rais. Pia ana haki sawa na waziri wa fedha ama waziri mwingine yeyote yule kama wassira.
 
Kazi zipo tele

1. Kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri na kutoa michango yake kwenye agenda husika;
2. Kuhudhiria vikao vya kazi vya baraza la mawaziri;
3. Kumuwakilisha rais, makamu wa rais au waziri mkuu pale itakapohitajika;
4. Kumuwakilisha waziri yeyote katika utekelezaji wa shughuli za kitaifa, ikiwemo bunge.
5. Nk

sio ajabu kuwa na waziri asiye na wizara maalum

hajaanzisha kikwete tanzania, baba wa taifa pia alikuwa nao;

post hii haijaanza tanzania, hata kwa wenye demokrasia ipo
 
Muda mwingi atakuwa anautumia kusoma magazeti na kuchat facebook
 
kaazi kwelikweli! ngoja nisogee jirani labda nitapewa kanafasi,huko watu wanakwenda kula tu na kusinzia nothing more!!
 
Back
Top Bottom