Waziri Asiye na Wizara Maalum..teh! teh!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470

wadau nimeamua niwakumbushe zile enzi za waziri asiye na wizara maalum....mimi nilikua bado mdogo, hivyo sina kumbumbuku kamili za majukumu yake kwa kweli...ila kuna wadau wanadai eti ni kama anayofanya JK kwa sasa......eti ziara zake zimezidi, hadi inafikia hatua mhandisi wa maji Mbeya anatetemeka na kumuadress kwa jina la waziri...teh!teh!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom