Waziri amla uroda malkia

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Chini ya amri ya mfalme Mswati, waziri wa sheria na rafiki wa karibu wa Mfalme Mswati, Ndumiso Mamba ametupwa jela baada ya kukamatwa kitandani hotelini akimla uroda malkia wake, Nothando Dube, ambaye ni mke wa 12 wa mfalme huyo wa Swaziland.

Malkia Nothando Dube mwenye umri wa miaka 22 amewekwa ya chini ulinzi mkali nyumbani kwa mama mkwe wake huku waziri huyo mkware akiendelea kunyea debe jela.

Waziri Mamba alikamatwa na polisi kitandani akijivinjari na malkia wake kwenye hoteli ya Royal Villas mjini Mbabane.

Wadadisi wa masuala ya kisiasa nchini Swaziland walidai kwamba uhusiano wa kimapenzi kati ya malkia na waziri huyo ulikuwa ukijulikana sana kilichobaki watu walikuwa wakisubiri ushahidi.

Mamba huenda akahukumiwa adhabu ya kifo iwapo atapatikana na hatia.

Mfalme Mswati yuko nchini Taiwan kwa ziara ya kiserikali.

Dube ambaye amezaa watoto wawili na mfalme Mswati aliolewa na Mfalme Mswati akiwa na umri wa miaka 16 baada ya kuonekana kwenye dansi maalumu la kila mwaka la wasichana bikira ambapo wasichana hupita wakiwa wameacha matiti yao nje huku mfalme akijichagulia yupi amuongeze kwenye himaya zake.

Dube huenda akafukuzwa toka kwenye himaya za kifalme iwapo atapatikana na hatia.
 
kumi na mbili ni wengi sana, na huyo dube ana miaka 22 tu, damu inachemka,

watamsaidia sana,

na kumbuka mwaka huu anaongeza kigoli mwingine wa miaka 16, kaazi kwelikweli
 
Hili JINGA lingelikuwa walau linawaachia wengine. Anamfaidi na akimchoka basi anamuachia JINA na kumuanzishia miradi au kazi kama anajiona kachoka kuishi na Mfalme. Yeye angelibaki na walau wawili au Watatu tu.
Hawa binadamu na wanawake kawaida na wanapenda mara kwa mara kufika kileleni. Sasa haya ya kusubiri hadi Mfalme apate nguvu na akukumbuke. Mwishoni anaona ajisaidie mwenyewe. Mume wa KUCHAGULIWA, changanya na wa kwako (Kikwete kweli ana busara).
 
Mume wa KUCHAGULIWA, changanya na wa kwako (Kikwete kweli ana busara).
Hahaha Duh kweli Mbayuwayu ina apply sehemu nyingi katika maisha yetu!..Mix with yours
 
wanawake ni ngumu sana ku wa please, yeye anadhan kua akishampa life, pesa, umaaruf na ma bodyguard ndio mwisho, after time wanawake used to take things for granted and want more! mswat anatakiwa aelewe they are humans and they have feelings, kwa iyo hana wa kumlaumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom