Waziri aeleza alivyolambwa na FATAKI akiwa shule

Mimi naona msg aliyotaka kuifikisha kwa jamii ile iliyokua inamsikiliza hakuichagulia mfano mzuri.Hiyo story yake ingekua na maana kama hiyo mimba angepewa akiwa shule ya msingi.Kwa utaratibu wa elimu ya Tz(7+7+4+2=20)kwa wakati huo alikua anazidi ya miaka 18 ambayo tayari sheria inamtambua kuwa ni mtu mzima.Sasa mtu mzima ukizalishwa aliyekuzalisha anaitwa fataki?

Hapo ni kama hakuchelewa shule maana inawezekana alianza akiwa na miaka 10. Na pia hatujui mimba aliipata akiwa mwaka wa ngapi chuuoni tena pengine baada ya kurudia rudia kwa kufeli ... shame on her
 
Back
Top Bottom