Wazi Mkuu: Kwamba watz ni watu waexcuse

Matatizo yote yanaisibu nchi hii kwa sasa yanasababishwa na (Watanzania) wananchi wenyewe badala ya kufanya uhamuzi sahihi wanabaki kulalama tu kama vyura kwenye bwawa.
 
Watanzania wanatoa excuse.....mara mtoto anaharisha.....nimefiwa n.k.......dah

Hizi excuse nyingi zinasababishwa na ubovu wa mifumo ya serikali yenyewe.
Nakumbuka ilinibidi niache kazi zaidi ya mara 10 nikifuatilia cheti cha kuzaliwa pale RITA. Kila ukienda njoo kesho
Iliniuma sana kupoteza muda wangu wa kazi. Lakini utafanya nini mfumo ndo huo kila sehemu lazima upigwe tarehe.
Je uzembe ni wa nani hapo?
Pinda amekurupuka kutoa hilo jibu.
Hao wagen (hasa wa Ki-Africa) ukienda nchi zao nao ni hivo hivo, sema wakija TZ hawako subjected kwenye usumbufu wowote wa serikali na hana sehemu ya kufuatilia kitu chochote. Unaweza ukadhani ni wachapa kazi kumbe si hivo.
 
Mtanzania hana mtetezi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Anaye mtetezi mahiri anakuja mara moja kila baada ya miaka mitano.

Tatizo akija Mtanzania hamtumii vizuri mtetezi wake akiondoka ndo anamkumbuka.

Maskini mtanzania, umemkosea nini mungu?????
 
Pinda anatakiwa kumfukuza msaidizi wake haraka sana kabla hajafukuzwa yeye, maana hivi siku za karibuni amekuwa anatowa majibu kama mashine badala ya binadam, hao jamaa naona wanampa majibu ya mitaani tena ya kipumbavu aangalie hasije akawa anaogelea ndani ya ziwa la EL, maana nadhani hapo ndipo alipo wazidia akili, kupandikiza watu wake kila kona nyeti na Kikwete alipomshusha ndani ya basi alipaswa kumshusha na watu wake.
 
WM ajifunze kutoka kwa aliyekuwa WM wa Malaysia kwa kuwajengea uwezo na upendeleo maalum Wazawa. Ni uwekezaji gani unaotenga wazawa kwa kusingizia hatuna viwango? Kweli WM wtz hatuna viwango ili tuwape uhalali wageni? Majibu ya WM yanaonesha kukosa utumishi kwa wtz.Hatupo salama kwa mtindo huu.
 
mimi huyu waziri uwa namfananisha na pombe pingu
wakati unakunywa lakizi ufunge kamba surali kwa chini , kwa nina mama sijui inakuwa je
kwa maana nyingine ni mchafuzi wa tumbo kauli zake ni dalili ya kwenda msalani/toilet lazima zichaafue tumbo
huyu nanga
 
anachoweza pinda ni mzaha na ili hapa chini, siku mama mwatumu akiuliza kama hii ni sehemu protoco sijui itakuwaje mambo yale ya mkapa na visituli

 
Back
Top Bottom