Wazenji wafurika viwanja vya lumumba(muungano usio na ridha ni jinamizi lisilo kubaduka)

Mi naona hakuna haja ya kuungana nao hawa jamaa, kinachonishangaza ukinunua gari zanzibar kuleta hapa dar tra wanakutoza ushuru upya it seems zenji sio tanzania si bola kuendelea kulipa kodi tunayilipa hapa kwetu,tupaone zanzibar kama visiwa vya Comoro au mayote, inchi gani halingani hata na mkoa wetu hapa,wasituzingue bwana
 
Mtoto akililia wembe, mpe...tunapoteza muda kupigizana kelele kama vile Zenj ni New York ya Tanzania bara.
 
Back
Top Bottom