Wazee wote Tanzania kulipwa pension?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Akifunga Semina Gaudencia Kabaka amesema wazee wote irrespective of whether walikuwa waajiriwa au la kulipwa pension ili kuweza kujikimu..

My Take: Afadhali kuliko mashirika hayo kujenga majengo marefu wawasaidie wazee wetu..sijui kama watafanya hivyo lakini..

Source: Daily News.
 
Hii pension italipwa kutoka serikali kwa hiyo hayo mashirika yataendelea kujenga magorofa yao kama kawaida
 
Waanze na wazee wa east africa waache unafiki, wamesikiawenzao kenya, nao wanaiga bila utafiti. Halafu inaweza kuwa ni mbinu nyingineya 'ulaji', yetu macho.
 
Hadithi za Maisha bora kwa kila Mtanzania naona zinaendelea na wajinga ndio waliwao!
 
Huyu mama nae sometimes ana kera!
Hao wanaodai fedha walizozivujia jasho hamjawamaliza ndo mwende kwa hao AOB!
Ila ndo huyu huyu alisema Tz kila mwaka kuna ajila 800,000 sijui alimaanisha ajila zipi?
Nimekosa imani nae kama nilivyokosa imani na Celina Kombani ambaye alisema hakuna mabailiko ya katiba
 
Back
Top Bottom