Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
Draw ya uefa SAA ngap ndugu
Inatoka hii leo wakuu....
Draw ya uefa SAA ngap ndugu
Inatoka hii leo wakuu....
hizi draw zao bwana za hovyo kweli mfano psg na barca kila drawa mara nyingi lazima wakutane,bado arsenal na buyern
redcard ligi ya bar clays tu ndio inatabilika ligi zingine maumivunilitaka kujaribu kucheza no red card timu 10 ila 3 naona teyar zishapata red mamaae huu mchezo huu
Mi nimejaribu no red kadi gemu za roma vs millan na fiorentina sijui ztatokanilitaka kujaribu kucheza no red card timu 10 ila 3 naona teyar zishapata red mamaae huu mchezo huu
ungeweka over 2.5 ungekula ila kwa hapo umepigwaNgoja tujihami hivi.... Yasifike magoli matatu kipindi cha kwanza..... Naweka 20000 nifukuze 32800...tuone
0-0 tabu sana.Nawasalimu kwa hisani ya al ahyl
Ngoja tujihami hivi.... Yasifike magoli matatu kipindi cha kwanza..... Naweka 20000 nifukuze 32800...tuone
Nawasalimu kwa hisani ya al ahyl
Nalala jamani usiku mwema...Mtanisamehe nashindwaga kupost mikeka yangu kwasababu huwa nacheza live...
Mkuu uwe unaziweka mapemaaaNalala jamani usiku mwema...Mtanisamehe nashindwaga kupost mikeka yangu kwasababu huwa nacheza live...
OK mkuu umeeleweka.Nalala jamani usiku mwema...Mtanisamehe nashindwaga kupost mikeka yangu kwasababu huwa nacheza live...