MAGOLI YOTE KIPINDI CHA PILI option hii siielewi wakuu naomba maelezo ya kina.
Kama nimekuelewa vizuri inamaana kwenye hiyo mechi in the first half kusiwe na goli hata moja, bali magoli yote ya hiyo mechi yapatikane second half. Basically hizo timu zifungane kuanzia second half.
 
Na pale mkuu kuna NO & YES half time ilikuwa 1-0 nikaweka NO sijui inakuwaje
 
Hata mm nilidhan hivyo lkn wakaweka mkeka una timu 17,cjajua hapo inakuwaje
Ooh, hizo timu tano nyingine inabidi ubashiri pia mechi hizo. Hizo timu tano zitatumika pale kama kuna mechi kati ya timu 12 za mwanzo imeahirishwa. So watachukua prediction ya timu ya kwanza ya reserve badala ya mechi iliyohairishwa.
 
Hapo nimekusoma,ila mkeka umeshachanwa na Roma,chievo,Villarreal,athletic club na sasa southampton
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom