Asante Moyes, kwa mtu ambaye ni mzoefu mara nyingi anatumia kampuni gani? Vigezo: uharaka kwa kulipwa mtu anapokuwa ame shinda pia kampuni yenye option nyingi wakati wa kubet.
Mkuu jaribu kupitia kwa haraka haraka page zilizopita. Utapata majibu ya kila swali
 
Asante Moyes, kwa mtu ambaye ni mzoefu mara nyingi anatumia kampuni gani? Vigezo: uharaka kwa kulipwa mtu anapokuwa ame shinda pia kampuni yenye option nyingi wakati wa kubet.
option nyingi zipo meridian lakin kulipwa mpunga wanachelewa pia website yao online mara kwa mara inasumbua hasa ck za wkend na ndo muda wa biashara
 
26.81 Odds in total ...

View attachment 408448

Huu mchezo unataka moyo sn ... goli linafungwa dk ya 9 unapata matumaini kuwa 2+ sio issue ... basi unabaki litakuja, litakuja, litakujaaa tu ... mpk dk 90 ndio linamaliza mchezo na mkeka uliotumia resources kibao (muda, bando, hela etc) kuuandaa chaliiiiii

4f83249257cd3d29c30f6dccbcbef700.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom