Wajinga sana hawa!!!!

daaaaah hatimaye nimetoa mkeka mmoja kwa mbinde saaaaaaana,,, full stress cjui kama ntakula, naomba mung asaidie tu

Copenhagen
Novara
HJK
Mariehamn
Ajax
MVV
Clube bruge

ODDS 40+

ALL WIN

JAH BLESS
 
PSV sijui wana mabusha leo mamaeeeee zao ... wanaongoza ligi wanacheza na timu iliyo mkiani na imepigwa red card dk 34 lkn mpk saiv 64' 0-0 ... 3+ itapatikana kwli hapa ... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Nimecheza inplay nikawapa 1+ na yenyewe naona inagoma
 
PSV sijui wana mabusha leo mamaeeeee zao ... wanaongoza ligi wanacheza na timu iliyo mkiani na imepigwa red card dk 34 lkn mpk saiv 64' 0-0 ... 3+ itapatikana kwli hapa ... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Mimi niliwapa 2+ duh! Hapa mkeka kwishaaa QUMERS zao...
 
PSV sijui wana mabusha leo mamaeeeee zao ... wanaongoza ligi wanacheza na timu iliyo mkiani na imepigwa red card dk 34 lkn mpk saiv 64' 0-0 ... 3+ itapatikana kwli hapa ... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Hizi timu nazo zinabet hii PSV janga
 
uploadfromtaptalk1472387506582.png
PSV wamefanya walichotumwa na mabosi wao
 
Kweli nimeamin hakuna pesa rahisi.
Jana mkeka wangu uliishi hadi usiku kabisa Atletico ndio akauchana, ila wa leo mapemaaaaaah PSV kashauchana.
All da best mnaosubiria bahati zenu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom