wakuu hapa vipi.... odds 162.247
bet000.png
 
mkuu, kama inavyoonyesha, hii mechi iemkuwa ABANDONED, so iitachezwa tena kuanzia dakika iliposimama...mechi hizi huwa hazikai muda mrefu sana...mara nyingi huchezwa ndani ya saa 24...na huenda ikachezwa leo...huwa haiwekwi kwenye fixture tena, so sio rahisi kujua itachezwa muda gani....wewe endelea kuchungulia mkeka wako ukionesha alama ya green kachukue mpunga wako.
View attachment 389149
na matokeo ya awali yanajumuishwa au yale huwa yanafutwa
 
hii website ya ghana pia wako vizuri
search google betensured
utapata
kuna ambazo wanatoa free kaangalieni
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-28-11-25-31.png
    Screenshot_2016-08-28-11-25-31.png
    101.1 KB · Views: 27
meridian acheni kutoa mbwa basiiiiii daaaah...... kubeti tubeti kwa shida na kuliwa tuliwe WTF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom