Nimekuwa mfuasi wa single na double bet saiz maana ukiweka nyingi kila fei ngumi za uso
e871a9bc47d4d133a76928d94b7fa9fa.jpg
mkuu hata mimi nimeamua kukuiga ili ni-accelerate mtaji kidogo kidogo ligi zikianza niwe na kianzio.
 
Ni browser gani android mnayotumia kuaccess premier bet? Nimejaribu chrome, opera na UC browser zote nashindwa kuaccess *my account*
 
Aiseee leo mi nawasubiri Austria (Regionalliga West & Mittle) ... natafuta odds 5 natia 50,000/-


Hawa Austria wanatoa 2+ na 3+ kama hawana akili vzr ... yani hapa km nanyi mliweka wadau pana pesa ... hebu check hata half time bado.

upload_2016-6-1_20-9-45.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom