Wazee wastaafu wa CCM msikubali kwenda kujidhalilisha Majimboni ndiyo maana hampo CC!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Natoa Rai kwa wazee wastaafu wa CCM msikubali kutumika wakati wa uchaguzi nikwenda kujidhalilisha uchaguzi ukiisha isha mnatupwa pembeni na kusahauliwa mnakumbukwa kama mwanvuli wakati wa mvua!!Msikubali,Kwanza muwaulize mnataka sisi twende tukawambie nini wananchi??Je sera mliyonayo inasemaje?Kwa sasa CCM imewaelemea hao waliojifanya kuingiza nguvu mpya nakuondoa wazee sera hawana CHADEMA Haishikiki mkienda kwenye chaguzi jua mnaenda kujivua nguo!!CHADEMA INA VISION!!CCM wao nikurudia ngonjera za tangu 1961!Miaka yote wasilete maendeleo leo ni miujiza gani wataifanya kuwaletea wananchi maendeleo??
Msikubali Kuvuliwa nguo nyie niwatu wazima changanyeni na zakwenu mtoke na moja!!!
 
Back
Top Bottom