Wazee wanaopungukiwa na busara kwa kasi sana katika taifa letu ni hawa

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Chama cha Mapinduzi majuzi hapa kimelazimika kufikia maamuzi ya kuwaondoa wazee kutoka kwenye vikao vyao vikubwa
vya kimaamuzi baada ya kugundua kwamba uwezo wa wazee wa chama hicho katika kufikiri na kuchukua maamuzi stahili katika zama hizi umepungua kwa kiwango kikubwa.

Kikiongozwa na Mwenyekiti wake DR Jakaya Kikwete, chama hicho kilionelea ni bora kuwapa wazee hao nafasi ya uchauri sababu dhana ya ushauri inaeleweka vizuri kwamba sio lazima ukubarike na hiyo itakuwa imekipa chama hicho nafasi ya kuepuka mawazo mfu, yaliyopitwa na wakati na yasiyo na tija katika Taifa letu hasa katika kizazi hiki cha sasa.

Natambua kwamba wazee wote waliokuwa wakishiriki katika vikao hivyo wako kwenye kundi hilo na kwa sababu siwafahamu mmoja mmoja hapa nina kalist kafupi ka baadhi ya wazee katika muktadha wa kitaifa.

Naomba itambulike kwamba sababu ya kuwatambulisha ni katika kuiweka Jamii aware juu ya uwezo mdogo wa kufikiri juu ya mambo makubwa wa wazee hawa na hivyo kujiepusha na kutegemea kauli zao katika kufanya maamuzi bila kuzipima kwa ufasaha.

Na katika hili natanguliza kuomba msamaha kwa wazee wote wenye Busara, hasa wazee waliokatika kigoda cha Mwalimu Nyerere, Wazee wote katika chama cha Democrasia na Maendeleo, Madaktari Bingwa wastaafu wote na wazee Viongozi wa dini mbali mbali wachache sana.

1. Benjamini William Mkapa
2. Tendwa
3. Kingunge Ngombale Mwiru
4. John Malecesa.
5. Ali Haji Hassani Mwinyi.
6. Edward Lowasa.
7. Samwel Sitta
8. Mizengo Kayanda Pinda (Updated)
9. Celina Kombani (Updated - sina hakika kama ni mzee lakini)
10.Sofia Kitwana Kondo Simba (Updated)
11. Mukama (updated)
12. Pius Msekwa.
13. Makamba
 
Wazee wote waliotajwa hapo ni wanasiasa! Kwa nini? Hivi watu wameona kitu cha kujifunza hapo?
Kwa kweli SIASA ni profession mbaya sana, inaweza ikakufanya ufanye yale usiyotaka kufanya.
Anyway, Nail them up
 
pius msekwa, yusufu makamba, Anne makinda,
PERFECT mkuu, tena hapo kwenye red ndio kabisaaaaaaaaaa! Hawa wengine hawana madhara sana kwa taifa kwasasa ukilinganisha na bi kiroboto anvyotupeleka.

hee he unataka ban hiyo bi kiroboto ilishapigwa marufuku!
 
Back
Top Bottom