Wazee wa wilaya ya Mkuranga waiomba CHADEMA iende wilayani kwao.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wakuu nipo nasikiliza kipindi cha pata pata cha Wapo radio ambapo wazee wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamewaomba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA waende wilayani humu ili wao warudishe kadi za CCM kwani madiwani wa wilaya hiyo ambao wengi ni wa CCM wamewasaliti wananchi hao kwa kutowasikiliza matatizo yao wakati wakati wa kampeni madiwani hao wa magamba walifanya kampeni hadi usiku.

Wazee hao wamesema wamekichoka CCM na wapo tayari kuhamia CHADEMA kwani wana imani ndicho chama kinachnweza kuwakombna.Nawaomba viongozi wa CHADEMA waanze kuendesha operesheni sangara ili kuzoa wanachama huko Mkuranga kwani wananchi wameisha wachoka magamba.
 
Wakuu nipo nasikiliza kipindi cha pata pata cha Wapo radio ambapo wazee wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamewaomba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA waende wilayani humu ili wao warudishe kadi za CCM kwani madiwani wa wilaya hiyo ambao wengi ni wa CCM wamewasaliti wananchi hao kwa kutowasikiliza matatizo yao wakati wakati wa kampeni madiwani hao wa magamba walifanya kampeni hadi usiku.Wazee hao wamesema wamekichoka CCM na wapo tayari kuhamia CHADEMA kwani wana imani ndicho chama kinachnweza kuwakombna.Nawaomba viongozi wa CHADEMA waanze kuendesha operesheni sangara ili kuzoa wanachama huko Mkuranga kwani wananchi wameisha wachoka magamba.

Mkuu nikuongezee source:

WAPO Radio Kipindi cha Patapata.
 
Wazee wa wilaya ya mkuranga wametangaza nia yao ya kuama ccm na kuamia chadema au cuf hii ni baada ya kuwatuhumu madiwani wa ccm kutowasililiza wazee hao na wamewaomba viongozi wa cdm na cuf kwenda mkuranga hili wafanye mikutano na kupitia mikutano hiyo wazee hao warudishe kadi na kuchukuwa za cdm au cuf

My take chadema changamkieni kitu hii mara moja
(;)Ccm mene mene na peresi
 
BIASHARA_YA_MAFUTA_YA_PETROLI-2.JPG Mbunge wao anauza Wese la kuchakachua!
 
Wapi kamanda Lema?? Nadhani warudishe ile operation ilikuwa inaitwa TWANGA KOTEKOTE. Hivi Mkuranga mbunge wake si ni Adam Malima aliyeibiwa kila kitu na chandudoa pale Moro!!! Huku anawaacha wananchi wake wakipata shida kubwa. CDM sasa ndio kimbilio la kweli la wanyonge
 
Wazee wa wilaya ya mkuranga wametangaza nia yao ya kuama ccm na kuamia chadema au cuf hii ni baada ya kuwatuhumu madiwani wa ccm kutowasililiza wazee hao na wamewaomba viongozi wa cdm na cuf kwenda mkuranga hili wafanye mikutano na kupitia mikutano hiyo wazee hao warudishe kadi na kuchukuwa za cdm au cuf

My take chadema changamkieni kitu hii mara moja
(;)Ccm mene mene na peresi

Source: Wapo Radio kipindi cha Patapata
 
Habib Machange wakilisha chama fasta.
Kama Pwani wamekikataa CCM basi ni anguko mbaya sana!
 
wakati wa ukombozi ni sasa

Kweli ukombozi wa watanzania ni sasa ukiona hadi watu wa Pwani wanaihitaji CHADEMA ujue CCM haina chake tena nchi hii hata wabunge wa magamba jana walikiri kuwa wanaweza wakashindwa na CHADEMA uchaguzi wa 2015.
 
Inanipa shida kuamini kwani kama imefikia hapoo ccm ni kushneiiiiiiiiiiii.
 
PWANI?! kweli ukombozi umewadia

Kama unakwenda Kisiju Pwani, kuna kijiji kikubwa cha zamani sana kinaitwa Mbezi, juzi nimepita, ilitubidi tusimame kushangaa. Bendera mbili za kafu zimeshushwa na za cdm zimepandishwa, ni pale kona ya kuingilia Msorwa kuna bendera mpya ya cdm inapepea, hata Msufini zinapepea .
 
2015 ni mbali sana!
Kama wazee kwa kiswahili weshaona, basi ni kuua tembo kwa ububa!
 
Huu ni upepo wa mabadiliko na utamgusa kila mtz haijalishi yuko wapi,.magamba hizi ndo alama za nyakati na CDM ndo muda muafaka lets make it real M4C..
 
Back
Top Bottom