Wazee wa East Africa wazua tafrani jijini Dar

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
wazee wa afrika mashariki wako mahakamani High Court wametinga kukumbushia tena kilio chao cha mafao. FFU nao wamewahi kuwalinda wakubwa wao.

walio karibu watufahamishe nini kinaendelea

UPDATE:

6.jpg

3.jpg

1.JPGj.JPG


Wazee hao wastaafu wa Jumuia ya Africa Mashashiri waliamua kulala Barabarani mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya hukumu ya kesi yao kushindwa kutolewa uamuzi leo kutokana na Jaji aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kudaiwa kujitoa.

Picha: Askari wa vikosi vya usalama wakiwa katika eneo la tukio kuangalia hali ya usalama baada ya waazee wa Wastaafu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki kuamua kulala barabarani

 
Last edited by a moderator:
[/wazee wa afrika mashariki wako mahakamani High Court wametinga kukumbushia tena kilio chao cha mafao. FFU nao wamewahi kuwalinda wakubwa wao.

walio karibu watufahamishe nini kinaendelea

Hivi mbona uchaguzi unachelewa tukaachana na huu udhalimu wa JK na CCM yake?
 
Ndo mda huu wa kudai ela zao baada ya hapo wadhalimu wakiingia madarakani kwa kuchakachua imekula kwao
 
Wana ndugu nimepita hapo nje ya Mahakama kuu jijini DSM naona kuna polisi wakiwa katika jezi na lundo la wazee wa East Africa wakiwa hapo,huku sura zikiwa zakinyonge,
kama kuna mdau ambaye yuko eneo hilo anaweza kutuelimisha kinacho endelea,tutashukuru(nitashukuru)
asante
 
Yes wazee wamecharuka baada ya kuwa Jaji aliyekuwa anasikiliza kesi kujitoa(sijui kama ameona kuna interests za kisiasa!).
Na wameambiwa waje kesho kujua jaji gani atakuwa amepangiwa kusikiliza kesi hiyo(lakini kesho public holiday!)

Image057.jpg Image050.jpg Image051.jpg Image045.jpg Image056.jpg Image048.jpg
 
hivi lakini kwa nini hawawapi hawa wazee kilicho chao wakamalizie maisha yao na waende bila kinyongo? kwa nini nchi hii ina dhuluma kiasi hiki?
 
Hiyo ndio process ya ccm kuwapa maisha bora!
Pesa ni zao ... ccm inawanyima, halafu dont be suprised ... baadhi yao, if not the majory wanvote for ccm !!
 
[/wazee wa afrika mashariki wako mahakamani High Court wametinga kukumbushia tena kilio chao cha mafao. FFU nao wamewahi kuwalinda wakubwa wao.

walio karibu watufahamishe nini kinaendeleaQUOTE]

Hivi mbona uchaguzi unachelewa tukaachana na huu udhalimu wa JK na CCM yake?

Bado wanafunzi wa vyuo, bodi ya mikopo inawabania ile mbaya. Wakimaliza hao wanakuja wafanyakazi au labda wao wamepoozwa kiaina, baada ya kuona mkwala haulipi??????
 
Na wazee wamelala barabarani kivukoni road na kuzuia magari yasipite na wamegoma kuondoka mpaka wamwone jk au pinda.duh!!jk ana gundu ka la bundi vile.
 
Hivi hawa wazee baadhi yao sio ndio wale wanaoitwa wazee wa Dar es salaam waliokuwa wakimshangilia JK kwa mbwembwe?
 
Yes wazee wamecharuka baada ya kuwa Jaji aliyekuwa anasikiliza kesi kujitoa(sijui kama ameona kuna interests za kisiasa!).
Na wameambiwa waje kesho kujua jaji gani atakuwa amepangiwa kusikiliza kesi hiyo(lakini kesho public holiday!)

View attachment 15162View attachment 15163View attachment 15164View attachment 15165View attachment 15166View attachment 15167
Poleni saana wazee wangu hv JK kumbe hakuwalipa??? jamani hawa ni mafisadi ndo wanadhorotesha JK anawabeba mnoo pesa wanazo za kuwekea mabango tuuu!
 
Yap walipiga saaana makofi siku ile JK akiwaponda wafanyakazi sasa moto unawawakia. Na sio wazee tu walimu na wafanyakazi wengine, wengi utawakuta wameridhiiika kabisa na nchi inavyoendeshwa bora liende. Kwa madudu yaliyofanywa na serikali hii sikutegemea kuona watu wakijaa kwenye kampeni zao hata kidogo.
 
Harafu tena mchague sisiemu!! Ingawa sio wao wanaofanya hivyo lakini ni Serikali wanayoiongoza ndio ifanyayo madudu haya.
 
Hizi ni laana kabisa wanajitengenezea hawa mafisadi. Yote haya yana mwisho (Chonya wa Chilonwa)
 
Nasikia Jaji aliyekuwa anasikiliza kesi yao kajitoa anadai hana maslahi na kesi hiyo
 
Back
Top Bottom