Wazee wa Dar wasema Chadema waingepaswa kwenda mahakamani

Ndio maana NACHEKELEA KUUAWA MBWA WALE PALE ARUSHA. HATA HIVYO WALIOKUFA NI WACHACHE SANA. DHAMBI YA WAO KUUWA PALE MASWA ILIPASWA ILIPWE KWA MAMIA!. UKIONGOZWA NA VIONGOZI VIPOFU (WAVAA MISALABA) MATOKEO YAKE NI KUINGIA SHIMONI.

PONGEZI ZOOTE KWA JESHI LA POLISI KUUWA WASHENZI WALE WASIOHESHIMU WAZEE WETU.

You are next. CCM has no permanent friends.
 
Wazee wa Dar wako sahihi.

Kuhusu haki ya wazee wa Afrika Mashariki, aliyewapora haki yao ni Mtakatifu to be Nyerere, au hilo utalipinga.

Kikwete akalimaliza la hawa wazee, wakasema hawajaridhika wameenda mahakamani, kwa hiyo tungoje sheria ichukuwe mkondo. Kati ya hao wazee wa Dar. uliowaona leo wengine walikuwamo katika jumuiya ya Afrika Mashariki.

Njaa mbaya sana

Luck is merely an illusion, trusted by the ignorant and chased by the foolish.
 
Ndio maana NACHEKELEA KUUAWA MBWA WALE PALE ARUSHA. HATA HIVYO WALIOKUFA NI WACHACHE SANA. DHAMBI YA WAO KUUWA PALE MASWA ILIPASWA ILIPWE KWA MAMIA!. UKIONGOZWA NA VIONGOZI VIPOFU (WAVAA MISALABA) MATOKEO YAKE NI KUINGIA SHIMONI.

PONGEZI ZOOTE KWA JESHI LA POLISI KUUWA WASHENZI WALE WASIOHESHIMU WAZEE WETU.

The animal is ignorant of the fact that he knows. The man is aware of the fact that he is ignorant.
 
Hiyo kauli ina tofauti gani na aliyotoa mzee asiyekuwa na busara Makamba, utajua ufinyu wa akili na mawazo yao kwa kauli wanazotoa kupitia vinywa vyao!!!!
 
Njaa inawasumbua - I hate the so called "Wazee Wa Dar Es Salaam"! Hawa ndio Mkwere hukutana nao wakati akitaka kutoa vitisho - Wamebakia maskini na mpaka wajukuu zao watakufa maskini - Wao T-shirt za Kijani na posho ya 10,000/- basi - very low!
 
who the hell are these ccm sympathisers called eti wazee wa dar es salaam? waganga njaa wakubwa they pissed me off totally with their press conference. niliona hata waandishi wahabari waliokuwepo waliboreka.
 
Hawa sio wazee wa dsm ni wazee wa ccm wanaoishi dar mimi mzee wangu hawezi kujiunga na upuuzi kama huu wa akili za kimakambamakamba!
 
hao ni wazee (wa CCM) wa siku zote tunaowafahamu ambao JK na CCM hupitia mgongo wao kulaghai watanzania.
Makamba na CCM wanang'ang'ania mahakamani kwa kuwa wanafahamu nini kitatokea kama Chadema watakwenda Mahakamani, kesi itatajwa kwa mara ya kwanza July 2016.
 
Rekebisha heading iwe ' wazee wa kiislam Dar wasema CDM wangekwenda mahakamani

Hivi nyie hamjui kwanini CCM wanasisitiza CDM waende Mahakamani? Wameshaandaa uchakachuaji huko MAHAKAMANI!!!!
 
Hivi wazee hao wanajua kwamba mahakama ni haki ya Chadema na kuandamana pia ni haki ya Chadema -- vyote hivyo vimewekwa katika Katiba?

Hawafahamu chochote kati ya hivyo..waulize hayo maandamano yalitokea tarehe ngapi usikie majibu yao...wanazeeka vibaya hawa!
 
Hawa wazee ndio watakufa na CCM yao, hivi hawajui kama kipindi cha ujinga na umasikini ni mtaji wa CCM kimepita?

Hawa ndio waliofanya kikwete kukosa kura sozte za wafanyakazi wa Nchi hii halafu wanasingizia udini, Ukweli ni kwamba Makamba na hao wazee ndio wataendelea kuijenga CDM kwa sana.

Eti wanalaani wanaodai katiba mpya, hawana aibu kabisa, tutawasusua hata kwenye kuwazika we subiri.

Peoples power
 
Rekebisha heading iwe ' wazee wa kiislam Dar wasema CDM wangekwenda mahakamani'.

Nyerere nae alikuwa anavaa baraghashia.... so please change hapo kwenye red... SIPENDI tena SIPENDI wakati mtoa mada anajadili kwa mtazamo wake alafu wewe unaingiza masuala ya dini..... SIJAWAPENZA HAO WAZEE WA CCM

Wachina wenzio hawana dini acha hizo
 
Ndio maana NACHEKELEA KUUAWA MBWA WALE PALE ARUSHA. HATA HIVYO WALIOKUFA NI WACHACHE SANA. DHAMBI YA WAO KUUWA PALE MASWA ILIPASWA ILIPWE KWA MAMIA!. UKIONGOZWA NA VIONGOZI VIPOFU (WAVAA MISALABA) MATOKEO YAKE NI KUINGIA SHIMONI.

PONGEZI ZOOTE KWA JESHI LA POLISI KUUWA WASHENZI WALE WASIOHESHIMU WAZEE WETU.
Madrasa bwana sijui woote ndo wanajifunza hayo. JIHAD!
 
Hiyo kauli ina tofauti gani na aliyotoa mzee asiyekuwa na busara Makamba, utajua ufinyu wa akili na mawazo yao kwa kauli wanazotoa kupitia vinywa vyao!!!!
mkuu afadhali umegundua hilo hiii kauli haitofautiani kabisa na yamakamba, bora hata wangeedit kidogo.
 
nakumbuka niliwahi kumuambia mjomba asinitegemee baada ya kwenda kwenye mkutano wa wazee waliojulikana kama wazee wa Dar kumshangilia mheshimiwa wakati akiwatisha wafanyakazi

Wazee wa aina kama ya mjombaangu wanatia kichefu chefu
 
Wanaacha kukaa na kutibu sukari zao na shinikizo la damu wanaanza kupeemba mambo ya chadema ni wazee gani hao? Hao ni wale wacheza bao tusiwazungumzie hapa wanatupotezea muda.so wanakubali mauji na kumkubali mea wa arusha? Wanajua nini kwanza hao old model?
 
Back
Top Bottom