Wazee wa Dar es Salaam? mbona mmekaa kimya?

Mi nashindwa elewa kabisa. Wazee wa dar es salaam ni watu gani? nadhani linaweza jitokeza kundi jingine na kudai kuwa wao pia ni wazee wa dar es salaam ikawa mtifuano. Nadhani lingetafutwa jina jingine kwa kundi hili ambalo haliondoi uhalisia wa wao kuendelea kuwa wazee wa dar es salaam (kiumri)
 
wanasubiri tisheti na posho za kikao baba atakopo rudi na tunzo ya kuwa muuzuliaji bora ya misiba ya watu maarufu Africa ndio wakae nae waongee
 
Back
Top Bottom