Wazee wa CCM (Shinyanga) wamshukia Dk Slaa

Kwetu AMANI ni muhimu kuliko lolote lile. Chukulia mfano mdogo tu wa Gongola mboto wakati wa mabomu unaona watu walivyotaharuki.

Sote tuombe Amani itawale nchini na tuzishinde nguvu za shetani kutaka kumwaga damu nchini.

Tutazishinda vipi nguvu za shetani wakati shetani mwenyewe ndiye ameshika usukani? Uliona wapi kiongozi anatabasamu watu wake wakiuawa na mabomu? Uliona wapi kiongozi anasafiri akiacha msiba wa watu wake waliokufa kwa uzembe wake? Ni shetani peke yake anayeweza kufanya hivi.
 
Hata Gadhafi ana wafuasi wake, kwa hiyo sishangai hawa wazee ccm wanajua sana ku-brain wash

hata BUSH alikua na wafuasi walomuunga mkono kuua mamilion ya raia irag na afghstanh na kuharibu uchumi wa marekani mpaka leo wanadaiwa na mchina mabilioni wamefilisika hadi wanamgwaya ghadaf
 
Lakini slaa inawezekana walimfeed false information wakijua ataropoka ili wamuumbue yataka awe makini na habari anazoletewa hivi sasa lazima atakua under heavysurvellance hivo awe anacofirm kabla ya kutamka vinginevo ndo mambo ya kuumbuka daily
 
Nasikitika kuamini kama haw wazee wa shinyanga wanahekima.kwa waliosikia taarifa ama warudie clip aliyozungumza Dr Slaa wazingekuja na kauli kama hiyo kwani hazina hekima hata chembe.labda tu niseme hata mimi nilipokea taarifa toka kwa mtu wa karibu sana na familia juu ya kifo hicho..sasa nani mwenye makosa.
Itakuwa jambo la busara km hiyo clip itawekwa ili arudishe iman kwa watu walio wengi ambao wamelaani uzushi huo wa kifo.

Na km kweli alisema ni kuomba radhi full stop hiyo itazidi kumjengea heshima na imani kwa wananchi km mtu anayekubali kosa na ndo sifa mojawapo ya mstaarabu.

Kuhusu nawewe kusikia from mtu wa karibu haikuwa na maana iwe published publicaly kwa mtu ambaye si
Mwajiri wake(kiserikali zaid) ili kuwataarifu watanzania wote. Lakin kwa kusema tu haitasaidia kitu credit zitashuka sana.

Watu washaamini Dr.Slaa kamzushia kifo RC shy so ni mzushi. Kuliweka sawa hilo either awakabidhi clip kwa media au km kweli aombe radhi mjadala utafungwa rasmi.
 
madai ya kustaafu! kwani waliwahi kuajiliwa wapi? wote ni vizee vya kijiweni vilivyopewa buku tano tano kwenda kuongea upupu.

Slaa ni mwongo tu. Kumzushia mtu kifo hadharani halafu haombi hata msamaha kuwa alikosea/alipewa taarifa isiyo sahihi/hakuelewa vizuri halafu mnamuunga mkono!!!!! Kweli mlevi siyo lazima anywe pombe, kumbe hata siasa nayo ni ulevi. Padri mwongo!!!!! Ama kweli dunia imefikia mwisho. Huko mikoani bado anazunguka tu kutafuta wachumba. Hebu aende kwa Paroko wake J2 hii akaungame Bwana Padri Slaa.

Bado najiuliza, kumzushia mtu kifo ndizo siasa tunazotaka Watanzania ili tuondokane na umaskini anaohubiri huyu bwana!!! Wenye akili tumeshagundua. Walevi wa siasa za majitaka endeleeni.
 
Lakini slaa inawezekana walimfeed false information wakijua ataropoka ili wamuumbue yataka awe makini na habari anazoletewa hivi sasa lazima atakua under heavysurvellance hivo awe anacofirm kabla ya kutamka vinginevo ndo mambo ya kuumbuka daily

Amezoea sana Slaa kusema uongo na kuwaghiribu wananchi. Kama nilivyobainisha kuwa kama ameweza kuliasi kanisa na sacrament aliyokule nadhili atashindwa kuwahadaa wananchi.

Ni muongo na mzandiki aliyebobea
 
Slaa ni mwongo tu. Kumzushia mtu kifo hadharani halafu haombi hata msamaha kuwa alikosea/alipewa taarifa isiyo sahihi/hakuelewa vizuri halafu mnamuunga mkono!!!!! Kweli mlevi siyo lazima anywe pombe, kumbe hata siasa nayo ni ulevi. Padri mwongo!!!!! Ama kweli dunia imefikia mwisho. Huko mikoani bado anazunguka tu kutafuta wachumba. Hebu aende kwa Paroko wake J2 hii akaungame Bwana Padri Slaa.

Bado najiuliza, kumzushia mtu kifo ndizo siasa tunazotaka Watanzania ili tuondokane na umaskini anaohubiri huyu bwana!!! Wenye akili tumeshagundua. Walevi wa siasa za majitaka endeleeni.

pia alishawahi kutoa uzushi kuhusu contena lenye shahada za kura polisi kucheki wakaona ni uzushi,kimsingi jamaa hayuko sawa
 
Mropokaji ni mropokaji tu finisha hakuna vile utasema tuamini vingine ,eti maandamano yameshusha sukari,mambo gani tunadanganyana ashushe ciment iwe afu tano nitamkubali
Lakini si kigoma itakuwa dubai ya Africa au ni double standard????
 
Back
Top Bottom