blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Wekeni udini pembeni utanganyika mbele na ukanda nyuma . Walipigania uhuru au hawakupigania uhuru yote ni historia basi na tuitumie vizuri kwa wale waliopigania uhuru tuwaenzi kama tunavyowaenzi leo hii wale wote wanaodhubutu kusimama na kufichua maovu ya watawala wetu na kwa wale ambao mnahisi hawakufanya lololte bali wapotoshaji na tuwachukie kam tunavyowachuki mafisadi bila kujali dini kabila au chama nawasilisha utanganyika mbele kibagarashea rozari aurangi ya chama nyuma