Wazazi wenza...!

Ndoa hizi ambazo mmoja ana mtoto huwa zinachanganya sana wanandoa hasa yule mzazi mwenza anapoingilia, mie nashangaa huyu mwanamke aliyeachana huwa anakuwa na maisha yake na mtu mwingine , huku bado anataka amshikie mwenzake balls zake, hapa mwanamme asipokuwa makini ndoa inayumba haswa, mwanaume kuwa na mipango na mipaka na umwonyeshe mzazi mwenzako hutaki akuingilie kwenye maamuzi yako.
Kuhusu shule unaweza ukawa unalipa moja kwa moja kwenye account ya shule kuepusha usumbufu kama mwanamke anakuwa na tamaa. Mie nashangaa mwanamke utahamisha watoto wako shule nzuri sababu ya pesa kweli?

Huu mfumo jike naona sasa unaota mizizi nitaanzisha harakati kali kupambana nao, maana sijaona hapa likiongelewa swala la mama kulipia school fees au mnajifanya hamjui kwamba kuna wanawake wanatuzidi vipato?
 
Dunia hii ina mambo wewe...
 
unajua the godfather the book ilikuwa inaitwa
the sum of all wisdom na recommended kwa kila mwanaume...

Now wewe unanifanya nione maybe na kila mwanamke asome vitabu vya mario puzo...

When i read his books his characters are forever printed in my head... And for any man who reads, loves and appreciate the books there is some chance that he is a good man... as much as all the books are about what man can do to achieve power and success the first important thing for him is Family... Always protect and provide for your family....Always...
 
In summary: How mwanaume -na mwanamke for that matter- anajiandaa depends na watu wenyewe wakoje, wameamuaje na wako commtted how much to make their intended marriage work. Au unashauri maandalizi yaanze baada ya ndoa? Au sijui kiswahili kilichomo kwenye swali lako nililowekea red???

Never mind...
 
when i read his books his characters are forever printed in my head... And for any man who reads, loves and appreciate the books there is some chance that he is a good man... As much as all the books are about what man can do to achieve power and success the first important thing for him is family... Always protect and provide for your family....always...

ahhhh.
What can i say......
Sijui nianzie wapi...
 
<br />
<br />

Asante sana kwa Ushauri wako Lizzy!! Sio majivuno wala kijisifu ila nina hakika kwamba nitakuwa Mume Mzuri(km mtu ambaye sikupanga kuishi naye na nimekaa naye kwa amani,itakuwa zaidi kwa mtu ambaye kutakuwa na Mutual agreement),kuhusu kuwa responsible father,hapo pia sina shaka pia,Namshukuru Mungu,For me to love is my natural inclination!!
Once again,Thank u for ur advice although i must admit that i wish u were that "dream" woman of mine!!

Hahhahha...karibu na asante!!
Nafurahi kusikia unawapenda na kuwajali wanao ipasavyo...na mvumilivu kiasi cha kuweza kuishi na mwenzako japo moyo haukuwa nyumbani!!!

Hapo kwenye kuwish endelea atakuja ambae hata mimi sioni ndani!!Lolz
 
Mi sina watoto wala mtoto,ila kwa uliyosema ni kweli kama baba hana msimamo ndoa itakuwa bala na chanzo kitakuwa ex,ila cha msingi kuliko vyote ni wazazi kuepuka kutengana!Ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima!
 
When i read his books his characters are forever printed in my head... And for any man who reads, loves and appreciate the books there is some chance that he is a good man... as much as all the books are about what man can do to achieve power and success the first important thing for him is Family... Always protect and provide for your family....Always...

I like your skill Asha
 
Huu mfumo jike naona sasa unaota mizizi nitaanzisha harakati kali kupambana nao, maana sijaona hapa likiongelewa swala la mama kulipia school fees au mnajifanya hamjui kwamba kuna wanawake wanatuzidi vipato?
Wanawake wengi hua wanafanya kana kwamba watoto ni wa mwanaume tu....inabidi muanze kugawana cost kama hamuishi pamoja!
 
Mi sina watoto wala mtoto,ila kwa uliyosema ni kweli kama baba hana msimamo ndoa itakuwa bala na chanzo kitakuwa ex,ila cha msingi kuliko vyote ni wazazi kuepuka kutengana!Ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima!

Huwezi kuepuka kutengana na mtu ambae huwezi kuishi nae!
 
duh,lizzy aliniomba
nisiichakachue hii thread so nakuja pm
nikupe maelezo ya godfather...

Lizz.... Watoto ni watoto
na ni vey innocents..

That is why you are so hard to read... this thread inahusu mambo ya family...
na The God father vivyo hivyo... anyways me waiting....
 
Back
Top Bottom