Wazazi walala hoi wamewangusha walimu

GTMOJA

Senior Member
Jul 25, 2012
100
21
Mgomo wa walimu ulitakiwa uungwe mkono na wazazi walalahoi kwani wangetakiwa kuingia barabarani na kuishin ikiza serikali kwan ikiwa serikali haita wajali walimu watoto wao ndio wanaoathilika na mgomo baridi utakaofanywa na walimu kwani watoto wa vigogo wa nasoma shule za bei mbaya kwa ujumla jamii imewasaliti walimu hasa hasa walalahoi tafakari
 
Back
Top Bottom