Wazazi wa Mwananyamala/Kijitonyama watoto wenu wana angamia

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Jana katika harakati za kutafuta mafuta na kidumu nikajikuta nakatisha maeneo ya Mwananyamala.
Kwa kweli nilicho kiona pale siku amini macho yangu kweli ni kizazi kipya au ndo hivyo watu wanapenda kula vitu visivyo komaa.
Watoto wadogo darasa la 5,6,7 wameingia kwenye ulingo wa kufanya mapenzi na mababa na mababu kwa kuhongwa miguu ya kuku, utumbo wa kuku, kichwa cha kuku na shingo. Bei zake ni chini ya Tsh.500/=
Kwa kweli inasikitisha na huu mgao wa umeme maeneo hayo umewarahisishia kazi niliona babu anamtania mjukuu wewe mchokozi kwa nini unanichezea sharubu mjukuu wangu huku babu akiwa amekipakata kibinti nacho kina ruka ruka mi nilijua wanacheza tu kumbe wanacheza kikubwa dah wazazi wa maeneo hayo kuweni makini watoto wenu wanaharibika wanapoteza bikra, magonjwa siku hizi nje nje ukimwi, pangusa n.k
 
fidel, dunia imeharibika. ila usishangae hao wazazi ndo wanawatuma watoto wao. usifikirie sana kuwa ni sh 500, hata kama ni millioni kadhaa,SIO SAWA!
wazazi wako too busy either kutafuta pesa, or kula maisha kiasi kwamba hawajishughulishi kabisa na malezi ya watoto wao. hivi kwa kizazi hichi ambacho macho yako yanaona vitu na unaishia kuskia maumivu (grimace..), kuna kitu cha kustusha tena?
 
Una ushahidi na hayo, maana unawachokoza wakulu hapo, wazee wa mji wengi wanakaa maeneo hayo usije ukajitafutia kesi, Fidel una ushahidi?????? kesi ya ubakaji hiyo ujue, usije tafutwa bure
 
We unafikiri mm nimetunga haya mambo?
Kama wewe tomaso nenda kajioneee mimi nimeshuhudia watoto wadogo wanapakatwa kwa hongo ya utumbo wa kuku.
 
Ni maeneo gani Mpwa? maaana kuna eneo pale Mwananyamala kituo chao Mwananyamala A panaitwa kwa Wahaya, yaani ni danguro la watoto na wakubwa, niliambiwa kuwa ukikuta chemli iko nje ujue ndani kuna mwenzio so unasubiri atoke na wewe uingie, hebu niambie ni Mwananyamal sehemu gani, kama vile mwananyamala ni kubwa; kwa Kopa, Gengeni, Hospitali, au kule kwenye misikiti? waweza kuwa specific kidogo Mpwa ili tukafanye uchunguzi tusaidie kuwaokoa??
 
Ni kweli hayo maeneo yameharibika, mimi nakaa moja kati ya maeneo hayo jana mtoto wa miaka nane mvulana kamuingilia kinyume na maumbiele mwenzake wa miaka saba, wakashidwa kutoa uume kwa mwingine wakaanza kulia watu wakaenda wakawapeleka hospitali, yani dunia imeharibika
 
Fidel una vituko wewe?? Uliona kibinti kihingwa miguu ya kuku au kibanjua amri ya sita bila huruma
 
Jana katika harakati za kutafuta mafuta na kidumu nikajikuta nakatisha maeneo ya Mwananyamala.
Kwa kweli nilicho kiona pale siku amini macho yangu kweli ni kizazi kipya au ndo hivyo watu wanapenda kula vitu visivyo komaa.
Watoto wadogo darasa la 5,6,7 wameingia kwenye ulingo wa kufanya mapenzi na mababa na mababu kwa kuhongwa miguu ya kuku, utumbo wa kuku, kichwa cha kuku na shingo. Bei zake ni chini ya Tsh.500/=
Kwa kweli inasikitisha na huu mgao wa umeme maeneo hayo umewarahisishia kazi niliona babu anamtania mjukuu wewe mchokozi kwa nini unanichezea sharubu mjukuu wangu huku babu akiwa amekipakata kibinti nacho kina ruka ruka mi nilijua wanacheza tu kumbe wanacheza kikubwa dah wazazi wa maeneo hayo kuweni makini watoto wenu wanaharibika wanapoteza bikra, magonjwa siku hizi nje nje ukimwi, pangusa n.k
lakini Mpwa si wewe ulisema ukiuza utumbo usiogope inzi?
 
Ni maeneo gani Mpwa? maaana kuna eneo pale Mwananyamala kituo chao Mwananyamala A panaitwa kwa Wahaya, yaani ni danguro la watoto na wakubwa, niliambiwa kuwa ukikuta chemli iko nje ujue ndani kuna mwenzio so unasubiri atoke na wewe uingie, hebu niambie ni Mwananyamal sehemu gani, kama vile mwananyamala ni kubwa; kwa Kopa, Gengeni, Hospitali, au kule kwenye misikiti? waweza kuwa specific kidogo Mpwa ili tukafanye uchunguzi tusaidie kuwaokoa??
<br />
<br />
Mh wewe unaelekea unataka na wewe ukapakate
 
Hizi ni ishara za mwisho wa dunia yafaa tusali na kufunga kwa sana ee Mungu turehemu kizazi hiki tunaangamia
 
Ni kweli hayo maeneo yameharibika, mimi nakaa moja kati ya maeneo hayo jana mtoto wa miaka nane mvulana kamuingilia kinyume na maumbiele mwenzake wa miaka saba, wakashidwa kutoa uume kwa mwingine wakaanza kulia watu wakaenda wakawapeleka hospitali, yani dunia imeharibika

duh.......
 
baridi tu wao ndo wanahitaji ukubwa na sio wazee na msisahau waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpe ukimkata ndo anajua ni mbaya..

kwa hiyo acheni wale raha na hapo kama sikosei ni maeneo ya kwa kopa ndo kuna hizo mambo kibao..
 
Inaelekea we ndo unaowabanjua hao watoto!!..sasa ulienda kufanya nini uko? Acha tabia hzo...'okoa watoto okoa tanzania'
 
Ni kweli hayo maeneo yameharibika, mimi nakaa moja kati ya maeneo hayo jana mtoto wa miaka nane mvulana kamuingilia kinyume na maumbiele mwenzake wa miaka saba, wakashidwa kutoa uume kwa mwingine wakaanza kulia watu wakaenda wakawapeleka hospitali, yani dunia imeharibika
mhh kwa mwananyamala ni mambo ya kawaida sana,mpaka mtu unajiuliza nini kimewateka watoto hawa!!!
 
Ni kweli hayo maeneo yameharibika, mimi nakaa moja kati ya maeneo hayo jana mtoto wa miaka nane mvulana kamuingilia kinyume na maumbiele mwenzake wa miaka saba, wakashidwa kutoa uume kwa mwingine wakaanza kulia watu wakaenda wakawapeleka hospitali, yani dunia imeharibika
Ni mazingara au? maana wa miaka nane nae bado anakuwa mdogo daaa hii kali
haya wenyeji wa maeneo hayo kuweni macho
 
Tuzidi kuomba Mungu sana maana kizazi hiki sijui kitaishia wapi,wazazi wanakimbia majukumu yao,watoto wana tamaa sana nguo,simu na vipodozi maisha ya kiutu uzima wanayaanza mapema sana....utakuta kitoto darsa 5 ana bwana ambae yuko mtaani tu anapiga deal baada miaka 3 huyo binti anakuwa ameshakomaa anaongeza size tu maana matumizi yake yanakuwa makubwa zaid!nyumbani hapewi huduma yeyote zaidi kulala na chakula cha usiku ambacho hata sio standard,hao watoto wanajituma na kujilisha chips hasa usiku,utakuta majumba mengi ya uswzi hapa dar wanapika chai na labda chapati au wali ndondo hao watoto wanataka chips!! Maombi tu kwa kizazi hiki
 
Fidel mie ckatai usemayo ila wazaza nahic ndo huwa2ma.nlikua gheto nikawa nachukua mboga kwene kibanda.mchizi niko ft ukiniona utajua huku mambo safi.sasa yule mama akawa ananambia nenda bnti(10YR) atakuletea.fidel mambo kale katoto kalikua kananifanyia mpaka nikahama kule!

So mi cjui ngono imepata ladha gani mpya?
 
Inasikitisha sana, ila mtoa hoja angeweza ataje mtaa kabisa coz Kijitonyama, Mwananyamala ni kubwa sana. Tena kwa upande wangu naona kama umedhalilisha maeneo tunayoishi kama utashindwa kutaja mtaa au eneo husika. Kwa mfano Kijitonyama mitaa yote ina majina kwa hiyo kusema ni kijitonyama yote unakosea...eg Akachube, Senegal, Uganda etc..
 
Back
Top Bottom