Wazazi, Tunaelekea Wapi?

kamanda

i saw this on facebook nikasikitika sana

Haya ni matunda ya malezi mabaya... hawa watoto hawana malezi , wanaishi-ishi tu


...............Wajua kamanda hili ni janga la kitaifa.....na haya maisha ya siku hizi ya baba/mama wako buzy na kazi malezi yanaachwa kwa dada wa nyumbani ...........mbona hatari?? sijui ndo kina mama tuache kazi turudie majukumu yetu ya zamani?? How do we balance jamani??
 
This is just another form of child abuse in my opinion. It is more rampant in our society than we can imagine and it is exacerbated by the lack of proper child welfare bodies and functional system(s).
 
Well said mestod unakuta kabisa mzazi na akili zake timamu anamwambia mtoto ongoza na wenzio mwende disko toto, sasa wakiwa wanarudi ukutane nao uone wakifanyacho lahaula lakwata utachoka.

Mi kabinti kangu huwa kananiona mkoloni sana, ila naamini katakuja kunishukuru baadae[/QUOTE


Keep it mama, kuna siku atakuja kukushukuru atakapokuja tambua kwamba siyo mfuasi wa Lucifer. I hate Lucifer from the bottom of my heart, kwani ni source ya maovu yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom