ni vizuri pia kuwaambia sex sio kitu kibaya....
ubaya ni to do it at the wrong time with the wrong people
Hapa ndo kusema wote tuna watoto wadogo sana? Hivi hakuna mfano hai hapa mtu aseme mimi nilifanya hayo ya kujua boyfrend wa wanangu, au hivi na nimefanikiwa!
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.
Hommie watoto wadogo sana ndo umri gani?Hapa ndo kusema wote tuna watoto wadogo sana? Hivi hakuna mfano hai hapa mtu aseme mimi nilifanya hayo ya kujua boyfrend wa wanangu, au hivi na nimefanikiwa!
god bless my headmistress, sijui aliwaza nini kutuletea insipirational speakers tukiwa o-level. mama mmoja alitupa hii 'sex is very good,bt u will enjoy it at the right time, in the right place with the right person. let it wait, yaani mtafanya hadi mtakimbia manake furaha yake itazidi!!', tulikua tunacheka sana,she was open and we had a good insight of marriage back then,imagine! i totally agree with u!
Hahaha haya niambie wewe ulipeka boyfrendi kwa mama ukiwa na miaka mingapi?kim, tunaweza hata kujitolea mifano yetu sie wenyewe. FF nae sijui yuko wapi saa hizi,manake na hao vijana wake ma-handsome kama alijua kila GF itakua shughuli,hahaha
Hommie bana, chini ya miaka mitano!Hommie watoto wadogo sana ndo umri gani?

...dahhh, king'asti umenipa ukumbusho na funzo zuri sana kwakweli,....
shukran sana...hili suala la kumfanya mtoto ajiamini ni muhimu sana.
kujiamini yeye mwenyewe na kuamini kuongea na wewe mzazi bila 'kuhukumiwa' vibaya.
ahsante sana.
Maswali nusunusu hayafai:Hahaha haya niambie wewe ulipeka boyfrendi kwa mama ukiwa na miaka mingapi?
Hapa ndo kusema wote tuna watoto wadogo sana? Hivi hakuna mfano hai hapa mtu aseme mimi nilifanya hayo ya kujua boyfrend wa wanangu, au hivi na nimefanikiwa!
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.[/QUOTE
Dah, hili nalo neno
CD, kama kuna kitu mtoto anaweza kujifunza kwa mzazi wake ni kutorudia makosa ya wazazi. Na hiyo watoto wangu,inshaallah, watajua from the horse's mouth. i will insist that they dont have to repeat my mistakes, tena kwa kuwapa mifano hai kuwa mimi nilichagua njia hii na nikaishia hapa. lakini CD, she was my friend na akachagua njia ile na unamuona alipo sasa! one thing i am really striving on ni kujifunza kutokana na mambo ambayo for one reason or another sikuvutiwa nayo kwa wazazi wangu and my role models t large! ndo maana ni vema kuwa wazi na mtot,wakati muafaka share hata skeletons from ur closet. as long as vitamponya mwanao na maumivu ya mbeleni,who cares! hakuna swali mwanangu ataniuliza nishindwe kumjibu,na ku-admitt kosa na ku-enlarge gharama ambayo niliibeba kwa kukosea!
Hapa ndo kusema wote tuna watoto wadogo sana? Hivi hakuna mfano hai hapa mtu aseme mimi nilifanya hayo ya kujua boyfrend wa wanangu, au hivi na nimefanikiwa!
Hommie ndo maana nikaomba mifano ya kweli ili watu waelewe tusiongelee tamthilia hapa! Hommie hivi Matesha alivyo mzuri vile leo akuage anaenda kwa boyfrendi utamuelewa?Maswali nusunusu hayafai:

Na ulimwambiaje mama?

Baba alikuwepo?

Mama alikuuliza nini?

Sura ya baba ilikuwaje?

Baba alimwangaliaje boyfriend?

Ulikuwa umeshamegwa?

Huyo boyfriend alikuwa wangapi kwako?

Hao wengine walikuacha au uliwaacha?

Ulikuwa na kimimba?

Ukikutana nao sasa hivi kuna kujikumbusha?

Etc etc etc
Mamito jibu swali kwanza, mbona unaleta tena swali?Kimey Bana hebu twambie wako ana umri gani ?
Na hako kaumri kake ka miaka 10? OMG!!! Mungu apitishe mbali, aniepushe nisijeleta misiba isiyotarajiwa!Hommie ndo maana nikaomba mifano ya kweli ili watu waelewe tusiongelee tamthilia hapa! Hommie hivi Matesha alivyo mzuri vile leo akuage anaenda kwa boyfrendi utamuelewa?
swali hapa ni kwa nini binti alindwe na sio boys??????/
wazazi wakiambiwa mvulana wako kampa mimba binti wa fulani,hiyo sio kesi kabisa
kesi ni binti kupewa mimba...its funny
Hahaha haya niambie wewe ulipeka boyfrendi kwa mama ukiwa na miaka mingapi?