BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
kuzungumza jamani, wazazi tunapaswa kuzungumza na watoto, pili kupata muda wa kuspend na watoto angalau saa moja kujenga bond na kumfanya huru mtoto kukueleza lolote
Aisee..... Mungu aepushe mbali, pole sana kiongozi....... Leo umenistua mtima wangu..... Nkirudi home ntakaa na mabinti zangu tuongee mambo mazito. Haya mambo kweli huchelewi kuua...kiongozi we acha tu, mpaka nimeanzisha unyuzi huu, ujue kuna lililo nifika...
naugulia uchungu hapa wa mwana aisee....naweza ua bila kukusudia!
khaaa....nikiyafikiria magazeti ya shigongo ndio yanazidisha uchungu wangu...
GOD FORBID!
Ngoja niikimbie hii sredi, kuna vijana naona shkamoo zimekuwa nyingi sana kwangu siku hizi..... Nisije nikatenda dhambi bure..... Mi naona mabinti wanahitaji kuwa karibu na wawazi zaidi kwa mama zao. Wababa wengine tunawaonea wivu mpaka mabinti zetu........

Hilo kwenye bold halina ubishi. Nawaona kina matesha wangu wanavyokuwa karibu na mimi kuliko mama yao. Wanakuwa karibu kwa mambo ya kawaida ila kwa mambo serious yanayohusu mambo ya kimapenzi, sidhani kama wako wawazi kivile kwa baba zao.Babu unajua sometimes watoto wa kike wanakuwa karibu zaidi na wababa zao kuliko mama?
Mimi sinaa binti but I always wish to have one. So I have a lot of ideas ya nitafanya hili,lile n.k but inawezekana kabisa kwa kuwa sinae nikawa ninaelezea vitu vya kufikirika zaidi ya inavyowezekana kutendeka.
Mtoto wa kike anauma! Si utani....... Ila wa kiume naye bwana...... dah!... Kuna jirani yangu amekujagundua kijana wake yuko darasa la tano, anabanjuliwa kama hana akili nzuri...... Yaani kishakuwa mzoefu! Inauma zaidi bana!
...kiongozi, hilo la kumjua boyfriend wa binti angalau kidogo kwa upande wangu naweza li accomodate...kidogo linanipa faraja anaye mmoja, na siku akichelewa kurudi, au akija ana ujauzito najua nikampe kibano nani...
lakini hilo la kumuachia mama yake malezi ya kukabiliana na vishawishi vya wanaume hapana bana, nahisi mimi naweza mfundisha vizuri gear wanazoingilia nao hawa mabaazazi....dahhhh...hii topik nimeanzisha lakini inanitia uchungu sana aisee...
mtoto wa kike anauma!
Babu unajua sometimes watoto wa kike wanakuwa karibu zaidi na wababa zao kuliko mama?
Mimi sinaa binti but I always wish to have one. So I have a lot of ideas ya nitafanya hili,lile n.k but inawezekana kabisa kwa kuwa sinae nikawa ninaelezea vitu vya kufikirika zaidi ya inavyowezekana kutendeka.
nyamayao...mabinti wa siku hizi ni rahisi kuwaweka karibu. unaanza tu na so mkwe hajambo!! anaitwa nani? siku moja basi nimsalimie eh?Mbu....kama tulivyosema, ishu ni kuwapatia elimu ya kidunia mapema, hapo pa MJ1 pa kuongea na byfrn wake ndio pagumu kwangu...MJ1 msaada pa kuanzia plz!
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.

Khaaaa! Naona leo umeamkia upande wa kushoto........... We mwanajamii hapa hatuzungumzii kuwakataza wasifanye, bali wasifanye wakiwa bado watoto. ukimsoma mheshimiwa Mbu amesisitiza "watoto" tena akaweka na umri, below 21 yrs..... Sasa kama sisi tunafanya si tunafanya kwa utashi wetu? Sie tunazungumzia kuwasaidia wasiingie kwenye mikono ya walaghai katika umri wao mdogo ambao wangepaswa kuzingatia masomo ili kujitegemea hapo baadaye. Wakishakuwa maguberi kama sisi, hata wakiamua kugawa kama dozi ya Aspirin kutwa mbili mara tatu, hakuna atakayewauliza.Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.
Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.
Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.
Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.
Nawakilisha.
Aisee..... Mungu aepushe mbali, pole sana kiongozi....... Leo umenistua mtima wangu..... Nkirudi home ntakaa na mabinti zangu tuongee mambo mazito. Haya mambo kweli huchelewi kuua.
ki western zaidi....mhhh ngumu sana aise, hapo unaongea na bfnd wake kama ulivyosema cku mnakutana nae kwenye mihangaiko binti anaku introduce"mum huyu ndio Mbu unaeongeaga nae kwenye phone" unakuta ni wa kuitwa babu...pwehhh, na pia MJ1 tunaweza kuongea/kuwa fnds/free nao bado wakaona kama ndio chance ya kuitumia hiyo (kwa wale wepec wa kushawishika)....Mbu nae thread zake bwana khaaa...nimefanya kumfikiria binti yangu mara mbili mbili kwa jinc alivyo kwa sasa!
Nadhani kuongea na bf wa mtoto ni kujipatia presha ya kufichwa na kummaliza mtoto confidence.what shld really work ni kumpa mtoto jukumu na kuweka open way ya discussion.kua rafiki na mtoto wa kiume na wa kike abt umuhimu wa kujipa majukumu unayoyaweza.the earlier the better!tukiwafundisha watoto kuwa responsible for themselves when we ar nt watching them,na tukionesha kuwaamini nadhani watatii mafundisho kwa furaha.wth,tell them sex can wait,utaipata when u grow up hadi ukimbie ad it will be worth it then!