Wazaramo kwa Mdomo ni noma!!!

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Juzi mitaa ya Temeke walimsema ndugu yao mwenye tabia za ukibaka mpaka akafa.
Hivi navyowaambia leo ndio wanazika.
 
Hawa wanamdomo kama nn useme ukaanza kubishana na wazalamo utakoma wanamaneno hao!
 
Hawa ukigombana nao hua wanakuja ukoo mzima kuingilia kujibizana na wewe.

Yaani mdada mmoja ana uwezo wa kujibishana na familiar yenu nzima na akawashinda!!
 
Back
Top Bottom