wazaramo kwa hili hata Mungu amewasamehe...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
majuzi kati wazaramo waliokuwa kwenye maandamano yasiyohitaji Kibali yaani mchakamchaka wa Ngoma waliokuwa wamekusanya waZalendo toka maeneo ya Msanga, Manelomango, Malumbo, Masaki B, Panga la Mwingereza na kwengineko walimkamata mwizi.

Na kilichotokea baada ya hapo hawakumpiga wala kumpa adhabu yoyote bali walimsema, walimchamba mpaka mwizi wa watu akapatwa na umauti kisha wazaramo wakaendelea na pilika ya ngoma na kuiacha maiti palepale
 
Back
Top Bottom