Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano ukivunjika watalia kilio cha mbwa..
Kibelaaaaaaaa! Kashindwa bill ya umeme ataweza bajeti za wizara zinazohusu mambo ya Muungano?Hapo kwenye red bado sijaelewa. Ina maana kuna mtu alitoka Tanganyika (physically) akaenda Zanzibar kubadilisha TV ya rangi ikawa black & white, au akangoa mitambo kwenye viwanda, au akavunya nyumba za kisasa walizokuwa wanakaa wananchi or what? Na kuhusu taa za barabarani, haziwaki au shida ni nini? Mwezi ulipita Zanzibar wamefutiwa deni la Tshs 50 bilion na TANESCO mnataka nini tena?Kuna jambo moja ambalo mara nyingi watu wanaruka kusema. Mikopo inayotelewa Tanzania, Zanzibar wanapata 4.5% lakini kwenye kulipa madeni Zanzibar hailipi! Ni vizuri huu muungano ujadiliwe, kama ni kuvunja tuvunje, na kama ni kuusuka upya tuwe pasu pasu kwenye mambo ya muungano. Kila jambo la muuungano gharama zitoke pande mbili sawa kwa sawa. Kwa mfano, bajeti za wizara za muungano i.e mambo ya ndani, au ulinzi kila upande uchangie 50%.
@ mzee lapa & ma2mbo
uvunjeni bac,wambieni viongozi wenu wauvunje,mnaogopa nin,mbona mnawangangania?hemu wacheni walie,midam machoz hayatojaza bahar hayatawazuruni nyinyi,
ah,mnapga zogo 2 km wapga debe,hem uvunjeni mumuone ataelia
@ mzee lapa & ma2mbo
uvunjeni bac,wambieni viongozi wenu wauvunje,mnaogopa nin,mbona mnawangangania?hemu wacheni walie,midam machoz hayatojaza bahar hayatawazuruni nyinyi,
ah,mnapga zogo 2 km wapga debe,hem uvunjeni mumuone ataelia
Hawa jamaa wengi ni wapiga domo na sio wachakarikaji. Wanaamini hata yasiyoaminika. Kuna mjanja anataka kuwafix baada ya kuvunja muungano. Watchout you will see...
[h=3]Resolutions granting membership[/h][h=4]Tanganyika[/h]S/RES/170 (1961) of 14 Dec. 1961 (S/PV.986)we unauliza nani atakae lia?inamaana ujui!!
Juzi meli ilipokwama huko pemba watu wameshindwa kuokolewa wametoka wanalia bora ata kila kitu chenu kiendeshwe na m'bara...nikaona ahaa kumbe mnaujua umuhimu wetu sema mmeumbwa walalamishi...na mkiendelea kutuudhi tutawanyang'anya ata iyo hadhi ya mkoa tuugeuze mtaa wa unguja na pemba,tuwaamishie mkoa wa Tanga ndio labda mtajifunza heshima.
UN Document Symbol: |
| |||
Issuing Body / Session: |
| |||
Title: |
| |||
Link To: | ||||
Author / Contributors: | ||||
Notes: |
| |||
Relation Notes: |
| |||
Subjects: |
| |||
Type of Material: |
| |||
Distribution: |
| |||
Job Number: |
|
Hawa jamaa wengi ni wapiga domo na sio wachakarikaji. Watchout you will see...
hawa watu wanachekesha sana, mbona kwenye referendum ya kusema wanataka muungano au la walipiga kura`kusema wanataka muungano uendelee sasa hizi chokochoko zinatoka wapi? nadhan ifanyike nyingine na majibu ya kipatikana tuwape nchi yao hao wazanzibar cjui kwa nini tupo kwenye muungano kama hawataki, hatuna tunacho gain kutoka kwao zaidi ya kuharibu kizazi chetu cha watu wenye akili kwa kudilute na hawa inferior people!
@ mzee lapa & ma2mbo
uvunjeni bac,wambieni viongozi wenu wauvunje,mnaogopa nin,mbona mnawangangania?hemu wacheni walie,midam machoz hayatojaza bahar hayatawazuruni nyinyi,
ah,mnapga zogo 2 km wapga debe,hem uvunjeni mumuone ataelia
Hapo kwenye red bado sijaelewa. Ina maana kuna mtu alitoka Tanganyika (physically) akaenda Zanzibar kubadilisha TV ya rangi ikawa black & white, au akangoa mitambo kwenye viwanda, au akavunya nyumba za kisasa walizokuwa wanakaa wananchi or what?
Na kuhusu taa za barabarani, haziwaki au shida ni nini? Mwezi ulipita Zanzibar wamefutiwa deni la Tshs 50 bilion na TANESCO mnataka nini tena?
Kuna jambo moja ambalo mara nyingi watu wanaruka kusema. Mikopo inayotelewa Tanzania, Zanzibar wanapata 4.5% lakini kwenye kulipa madeni Zanzibar hailipi!
Ni vizuri huu muungano ujadiliwe, kama ni kuvunja tuvunje, na kama ni kuusuka upya tuwe pasu pasu kwenye mambo ya muungano. Kila jambo la muuungano gharama zitoke pande mbili sawa kwa sawa. Kwa mfano, bajeti za wizara za muungano i.e mambo ya ndani, au ulinzi kila upande uchangie 50%.
ShibudaHivi nyie wa znz mna akili za tope! Naombeni muendelee kusubiri siku tutakapopata Rais kichaa awape masaa 48 muwe mmeondoka bara wote ndiyo mtajua kwa kwenda kukaa. Acheni upuuzi wenu huo