Pass whatever you are puffing. ROTFLMFAO.
Where the hell did you dig that up from?
Mhhhh Mara hii tumeshasahau yale maandamano ya wanawake Zanzibar dhidi ya wanawake wa Tanga!!!!!! basi tutakuwa na vichwa vya panzi
Ahahaaaaa. Mkuu nasikia kuwa wanawake wa kizenji wanatunza sana bikira zao hadi waolewe. Yaani wanaona bora akupe 0715 kuliko kuvunja bikira yake before ndoa. Kingine ni kuwa kwa nini wanawake wa kizenji wanaoishi Tanganyika wakipata ujauzito wanakwenda kujifungulia zenji? Nimechunguza majirani zangu km wa5 hivi ninaoishi nao jirani huku tandika. Nijuzeni wadau.
Kwa mda mrefu nimesikia kuwa wanawake wa zanzibar
ni wajuzi zaidi kwenye mapenzi kuliko wabara.....
But binafsi sijawahi kuona wanachozidi......
I mean nimewahi kutoka na wanawake wa kizenji na bara
sanasana naweza sema wanawake wa zenji ni kama wa tanga hivi
zaidi wanakuwa na mahaba zaidi.....walo more romantic but still
unaweza kukuta wa bara akakudatisha kuliko wa zenji.....
But hivi karibuni nilikuta wanawake fulani hivi wakisema
kuwa wanaume wa zanzibar wako juu au wanajua zaidi mapenzi kuliko
wa bara.
Sasa kidogo nikawa najiuliza is it true?????kivipi??????
But ukiwa zenji cha zaidi utakuta wanaume wengi wakienda sokoni
au kufanya kazi ambazo huku bara watu huwaachia zaidi wake zao...
Nikawa najiuliza inawezekana vitu kama hivyo ndio sababu....
Sasa ningependa wana jf kama mmewahi sikia hili la wanawake au wanaume wa zenji
kusifiwa kwa mapenzi.....
Nini unafikiri ndo sababu???????kuna ukweli wowote?????????