The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,063
- 115,462
Kwa mda mrefu nimesikia kuwa wanawake wa zanzibar
ni wajuzi zaidi kwenye mapenzi kuliko wabara.....
But binafsi sijawahi kuona wanachozidi......
I mean nimewahi kutoka na wanawake wa kizenji na bara
sanasana naweza sema wanawake wa zenji ni kama wa tanga hivi
zaidi wanakuwa na mahaba zaidi.....walo more romantic but still
unaweza kukuta wa bara akakudatisha kuliko wa zenji.....
But hivi karibuni nilikuta wanawake fulani hivi wakisema
kuwa wanaume wa zanzibar wako juu au wanajua zaidi mapenzi kuliko
wa bara.
Sasa kidogo nikawa najiuliza is it true?????kivipi??????
But ukiwa zenji cha zaidi utakuta wanaume wengi wakienda sokoni
au kufanya kazi ambazo huku bara watu huwaachia zaidi wake zao...
Nikawa najiuliza inawezekana vitu kama hivyo ndio sababu....
Sasa ningependa wana jf kama mmewahi sikia hili la wanawake au wanaume wa zenji
kusifiwa kwa mapenzi.....
Nini unafikiri ndo sababu???????kuna ukweli wowote?????????