Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari waliokimbilia somalia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tpmazembe, Jul 6, 2012.

 1. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,425
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hivi kilichowafanya hao wazanzibar waliokimbilia somali 2000 wakati wa machafuko ya uchaguzi ni nini? Je somalia ni karibu kuliko Dar au Tanga? Je somalia ni karibu kuliko kenya mombasa? au kuna mkono wa mtu
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Harufu ya al-shaabab, wafikie korokoroni wachunguzwe
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Subiri miaka michache tu utajua...
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,427
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  eti wamerudi baada ya kuhakikishiwa kuwa hali ni shwari sasa... teh hehe...!
   
 5. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,441
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  siamini,kwnn hawakurudi tangu zamani?mpaka miaka 10 imeisha?ina maana somalia ndo kuna amani sana?...ss timing yao sio nzuri ,manaake zenji kwenyewe duh.........hainiingii akilini ....
   
 6. Kapwila Matulu

  Kapwila Matulu JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,753
  Likes Received: 1,911
  Trophy Points: 280
  Duration ya training ilikuwa miaka 10, wamefuzu sasa wanarudi kwenye vituo vyao vya kazi. Uamsho (wahuni) wana mipango mikali sana!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,780
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  hivi ni Somali ipi....?.....ni hii ya Mogadishu au ile ya Hargeisa.....?
   
Loading...