Wazanzibari wachoshwa na Mfumo wa Muungano viongozi wa Smz waja juu wasema Znz kwanza chama Baadae.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
DSC_0012.JPG


Bonyeza vidio 1
VIDEO – SEMINA YA BARAZA LA WAWAKILISHI 1 | Mzalendo.net

Bonyeza Vidio 2

VIDEO – SENIMA BARAZA LA WAWAKILISHI 2 | Mzalendo.net
 
Yaani kila siku yale yale, tukiamka asubuhi muungano tumeuchoka. Jitangazieni basi uhuru wenu yaishe.
 
Nyie mmelogwa nini au mna laana?

Nadhani mliachiwa laana na shekhe
Karume, yani kila kukicha ni kupinga tu muungano,
ndo maana mataifa mengi yenye asili yenu yana tabu!
 
Kila siku kina jusa wanatoa matamko bila kufanya maamuzi yatakayofanikisha adhima yao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom