WaZanzibari shaamka Wa Tanganyika tunasubiri nini?

Status
Not open for further replies.

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Pamoja na kejeli za kila namna na matusi ambayo hatuishi kuwatukana watu wa Zanzibar lakini walau wao wamekuwa bold na kuanza kampeni kwenye kila shina ya kuupinga muungano ambao HAUKUWEPO, UKAWEPO na unaweza USIWEPO kwani Muungano wao wanasema si maneno ya Mungu ambayo hayabadiliki

Uzuri wao hawaogopi na kwa spidi wanayokwenda nayo hata siwalaumu. Sisi tunalazimishwa na Magamba tukubali tuu bila kuuliza sababu na faida za huu mradi wa muungano.

Nashauri, kwa sababu hawa washaanza kuonyesha njia nadhani na sisi tuanzishe kampeni zetu za kutaka kujitoa kwenye huu muungano ili tuachane na hii ndoa isoyo na faida kwetu na kwao.

Naamini CHADEMA wataunga mkono hili na wakitangaza hili rasmi nami nitahakikisha nakesha usiku kucha kuwaombea viongozi wote wa CDM wanachukua nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom