Wazanzibari mnatutaka nini watanganyika?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Hoja mnayo lakini inakuwaje hoja ya kisiasa(muungano) inakuwa spearheaded na kikundi cha "dini", kweli hapo hakuna hidden agenda? Mmesambaza vikaratasi kuwataka watanganyika waondoke Zanzibar haraka na kama hiyo haitoshi mmeamua kuchoma makanisa. Ninalotaka kuwauliza ni kwamba je nasisi tujibu mapigo? Tutembeze kiberiti maduka ya Namanga, Kinondoni TX, Tandika, Kigamboni? etc, je hicho ndiyo mnachotaka tufanye, tukimaliza twende SUA na UDSM pale MSAUD na idara za aquatic, marine sciences na idara zingine tukafanye vitu vyetu kwa kushughulikia wavaa hijab, kandambili na suruali don't touch kutoka kisiwa fulani.

Acheni ujinga mtaumiza watu wenu huku, uvumilivu una kikomo. Shenzi!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom