Wazanzibar wawasili Bara kwa wingi

hao ni marafiki zako lakini inawezekana ni mojawapo waliohusika na vurugu huko znz na kuchoma makanisa, wanakuja bara kupoteza ushahidi na ili wasikamatwe, kuwa makini nao.
 
Wee chiziii wacha uongo wako huo au ndio propaganda zenu ili muoneshe kuwa Wazanzibari tunaipenda Tanganyika, kwa hili hujafanikiwa tafuta jengine la kuzua usitupotoshe wenzako.

Ndo hayoo mara kanisa limechomwa, cjui watanganyika watakiwa wahame Zenji, ilimradi kujitukuza, cheki magazeti ya leo mmeweka mpaka picha za kughushi kwenye Tz Daima khaaa!!!!

Kwa hiyo sio kweli kuwa makanisa yamechomwa?? Sio kweli kuwa kuna ubaguzi unaoendelea? Sio kweli kuwa mtu wa bara hawezi pata eneo la kujenga Znz ila wa Znz anaweza pata eneo bara bila bughudha? Sio kweli kuwa uchochezi unalenga kuleta uhasama wa kidini?
 
Sheky usipoteze muda na akili na huyo juha mwache ataipata asubiri tu
 
Sa iv kwa kuwa ni waislam wanachoma makansa kikwete hasemi k2. Wangekuwa wakristo kkwte na akina wasira wangeipigia kll cdm je sasa 2smeje achen hizo. Hizo n Feelings za hao Wazenj il kuinfluence kujadiliwa kwa Muungano
 
Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano huku wanataka nini tena?.

Kipindi hiki Kenya kuna Al Shabab wanalipua mabomu hivyo shimoni hakuendeki!!!!!
 
vp dada zao wapo kwa wingi..tunajiolea tu..kwanza wote sawa...mwanaume anaolewa na dada yake vile vile...waje waje waje...
 
Ni kweli gata hapa kwe2 wameamia dawa ni kununu kichwa cha nguruwe na kwenda nacho msikitini nawatupia then nakimbia
 
Hizi zote ni mbinu chafu za CCM kwani wanajua upepo wa kisiasa unawaendea vibaya! Sasa wana ajenda ya siri ya kutumia kikundi ya uamsho ili kupandikiaza mtafaruku wa kidini ili wapate support ya waislam!! Na hao wanaokimbilia bara si kwamba ni wakimbizi. Wana ajenda zao!! Watanzania kuweni macho na njama haramu za CCM!! Mungu ibariki Tanzania!!
 
wabara msijidanganye na ulimwengu wa sasaiv, mzanzibar ana uwezo wa kuishi maisha bora bila hata kugusa bara, dunia ni ndogo sana zenu ni pumba tu na ndio maana wanajiamini kudai nchi yao, mbona nyinyi hamudai tanganyika yenu? na mumesoma sana?

kumbe unaelewa sisi tumesoma sana...., kusoma kwetu kumetusaidia kufikiri kwa kutumia kichwa. bali ninyi mnafikiri kutumia....????
 
Waacheni waje! Tukinukisha huku na sisi naenda kukamata maduka yao kule kariakoo

Mjomba, kama kuna siku muungano utavunjika hayo maduka yatakuwepo na wala hakutakuwa na kitu mtakachoweza kukiongoza! Umasikini pale pale hata muachiwe vyote! Nyambafu!
 
Wakati mwingine hoja zetu zinakuwa dhaifu sana, yani tunaangalia mambo katika one dimension tu na tukiwa very biased, In the house of great thinkers!!! kweli kwenye msafara wa Mamba na Kenge nao wamo. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara pia. Ni ushauri tu jamani
 
wabara msijidanganye na ulimwengu wa sasaiv, mzanzibar ana uwezo wa kuishi maisha bora bila hata kugusa bara, dunia ni ndogo sana zenu ni pumba tu na ndio maana wanajiamini kudai nchi yao, mbona nyinyi hamudai tanganyika yenu? na mumesoma sana?

Hapa napo kuna kajimsisitizö fulani... Inabidi Watanga ya Nyika tufikiri...
 
Mjomba, kama kuna siku muungano utavunjika hayo maduka yatakuwepo na wala hakutakuwa na kitu mtakachoweza kukiongoza! Umasikini pale pale hata muachiwe vyote! Nyambafu!

Kwa sababu mnajua mnafanya biashara kutumia nguvu za giza, mmejaza majini tu.........hakuna kitu mtaondoka na vijini vyenu na maduka tutaendeleza.......!!!, kwanza ngoja nianze kujisogeza dar, maana huku hakuna wapemba wengi na hawa waliopo wachovu tu.
 
Wakati mwingine hoja zetu zinakuwa dhaifu sana, yani tunaangalia mambo katika one dimension tu na tukiwa very biased, In the house of great thinkers!!! kweli kwenye msafara wa Mamba na Kenge nao wamo. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara pia. Ni ushauri tu jamani

Msimamo wako ni upi?
 
Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano huku wanataka nini tena?.

Hebu choma hiyo nyumba waliyofikia moto
 
Back
Top Bottom