Wazanzibar wapaa katu hawato kubali Serekali yao ya Smz kusalimu amri kwa Kanisa na kuchukuwa miongo

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
. Maaskofu


Wazanzibar wapaa katu hawato kubali Serekali yao ya Smz kusalimu amri kwa Kanisa na kuchukuwa miongozo na maelekezo ya Kanisa kwa kuwahujumu Wa islamu wa Zanzibar ambao ndio wakazi na wenyeji katika miji yao.

Hali hii imeibuka na kutia wasi wasi katika jamii ya wananchi wa Zanzibar ambao wakazi wa visiwa hivyo asili yao ni wa Islamu kuona Serekali yao inataka kutekwa na kutumiliwa na Kanisa katika agenda zao zidi ya wa islamu wa Zanzibar ambao ndio wakazi wengi wa visiwa hivyo.

Hali hii imekuja tokea kutokea kwa fujo lilisababiswa na Jesh la Polisi kutumia nguvu kubwa kwa wananchi wa Zanzibar kwa kumkamata kiongozi wao Sheh Mussa Juma wa Jumuia ya maimamu Zanzibar (JumuKi).

Wananchi wa Zanzibar ambao wakazi wake wa visiwa hivyo ni Waislamu wameshtuchwa kuona kuwa fujo hizo chanzo chake ni Jeshi la Polisi kuto kutumia Pusara za kisheria na badae kutumia nguvu kubwa zilizosababisha kuharibiwa mali za wananchi na nyumba za ibada ikiwemoo Kanisa na Mskiti .

Vitendo hivi vilikuwepo huko nyuma katika vuguvugu la kisiasa maina ya vyama vikuu Chama tawala ccm na cuf vyenye upinzani mkuubwa visiwani Zanzibar viilivyo sababishaa kipindi chote hicho kukusekana utulivu visiwani Zanzibar na mafaa mengi kutokea katika uvunjaji wa haki za kibinadamu na mauwaji ya Wazanzibar 2001 Trh 26/27 kuwawa kwa Wazanzibar na wengine kukimbilia nchi jirani Kenya kwenda kuomba kombis.

Hali hii imezowelekaa hapa visiwani imepungua tu tokea kutokezea kwa makubaliano ya maridhiano ya kunda Serekali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).

Hofu ya Wazanzibar wakazi wa visiwa hivi vya Zanzibar kuhusu Makanisa ya vichochoroni yasio na hata vibali vya ujenzi wa Makanisa hayo , ilikuwepo Zamani baaina ya wakazi wa maeneo na uhalali wa makanisa hayo kujengwa na Bar za kuzia ulevi kiholela holela.

Hii ni kukerwa kwa jamii ya wananchi wa Zanzibar kujengewa makanisa kiholela holela mitaani na kesi za kuzuia kufanya hivyo ziko nyingi tu zimepelekwa na wakaazi kukerwa na vitendo hivyo vya kujengewa makanisa katika mitaa yao ambao wakazi wake ni waumini wa dini ya kislamu .

Lakini hofu kubwa iliojitokeza hivi sasa na kujenga chuki baina ya wakazi wa Zanzibar na waumini wa kikristo ambao wengi wao ni Wazaliwa wa Tanzania Bara ,nikupandikiza chuki za udini na kutaka kuwachafuwa wenyeji wao kwa kutumia propaganda za Kanisa na Uislamu .

Hii ni pale Maskofu kutoka mikowa mbali mbali ya Tanzania Bara kuiamrisha Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuifungia Jumuia ya Kislamu Zanzibar Uamsho(Jumuki) ifungiwee hali ambayo ni kinyume na ni kuleta vurugu kati ya Wananchi wa Zanzibar ambao waumini wake 99 % Wausau na niwazaliwa wa visiwa hivi vya Zanzibar na uislamu ndio mfumo wao wa maisha.

Hali hii hivi sasa imaging hisia za chuki kati ya wananchi wa Zanzibar na Maskofu wa makanisa yaloko Zanzibar kuona kuwa wanawaingilia wenyeji wao katka chiming hali yakuwa wao ndio wenyeji na sio Smz ilio wakaribisha .

Swala la Kuchomwa moto Kanisa limesheshea hasira hizo na chuki hizo baada ya kuona huko nyuma kumeuliwa mashehe ndani ya Miskiti na kuharibiwa nyumba za ibada bila ya kunyoshewa vidole Wakristia wala kundi lolote la Maskofu.

Wazanzibar wanajiuliza iwaje leo Jumuia ya Wa islamu Zanziba Jumuki (Uamsho ) inyoshewe vidole na Maskofu na meadia za Tanzania Bara kutia sumu haliyakuwa chanzo cha fujo na utulivu kinatokana na Jeshi la Polisi kutumia nguvu kotuku na busara katika kuwakamata Ma Sheh hali yakuwa ofisi zao wanazijuwa na wakitwa wanaitika.

Jumuia za Maimamu Jumuki ikishirikiana na Uamsho imeshatowa Matanzas yao na tarifa zao mara zote kuwa wao hawahusiki na uharibifu wowote wa mali za uma kineme nyumba za Ibada, ispokuwa wao wanahusika na kukataa Muungano huu na kupinnga kwa njia za kisheria na ikiwa kosa lao ndio hilo basi wako tayari kupandishwa kizimbani kwa hilo, lakini mingineyo wao hawahusiki bali wqenye kuhusika ni vigogo wasio taka kusikiliza wananchi wa Zanzibar madai yao halali ya kupinga Muungano usio kizi na kero kwa Wananchi wa upande mmoja wa Muungano.

Sasa kusema maskofu na kuilazimisha Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar waifungie Jumuia ya Maimamu Zanzibar hii ndio Kutafutaa ungomvi na wenyeji wa visiwa hivi na kujiegemeza kwa Smz sio chaka , viongozi ni wakupita tu lakini wakazi na wananchi wa Zanzibar watakuweko kizazi na kizazi.

Mungu ibariki Zanzibar na Wana wa Zanzibar wote.
 
 
 
 
 
 
 

 
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom