Wazanzibar waingia mtaani; hawautaki muungano

Status
Not open for further replies.

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Muungano ukiwa bado mbichi wazanzimbar wako uwanja gani sijui huu kelele mpka hawasilikizani
swali langu kwa watanganyika hawa watu tunawanganagania nini? Wanasema wazi hawatupendiiiii mim nadhn imefika hatua tuwachie hawa watu au tukubariane turudi kwenye meza tukubaliane ni muungano gani wanautaka
japo dukuduku langu sijui kama hawa watu wanafanya tafakuri ya waliendealo nchi hawana hata uwezo wa kuripia gharama za umeme hawajiwezi kulipia wafnyakzi bira kutegemea budget ya muungano
greater thinker hawa watu vip na hili limekaaje?
 
waachiwe waondoke zao bana, hata mimi nashangaa tunawang'ang'ania wa nini
 
Muungano ukiwa bado mbichi wazanzimbar wako uwanja gani sijui huu kelele mpka hawasilikizani
swali langu kwa watanganyika hawa watu tunawanganagania nini? Wanasema wazi hawatupendiiiii mim nadhn imefika hatua tuwachie hawa watu au tukubariane turudi kwenye meza tukubaliane ni muungano gani wanautaka
japo dukuduku langu sijui kama hawa watu wanafanya tafakuri ya waliendealo nchi hawana hata uwezo wa kuripia gharama za umeme hawajiwezi kulipia wafnyakzi bira kutegemea budget ya muungano
greater thinker hawa watu vip na hili limekaaje?
Nadhani Rais ach uoga, kama bado ni muoga tunahitaji Mbunge wa kulianzisha hili- iitishwe kura ya maoni upande wa Zanziba ili waamue, Tutatalikiana kwa amani!
 
Muungano ukiwa bado mbichi wazanzimbar wako uwanja gani sijui huu kelele mpka hawasilikizani
swali langu kwa watanganyika hawa watu tunawanganagania nini? Wanasema wazi hawatupendiiiii mim nadhn imefika hatua tuwachie hawa watu au tukubariane turudi kwenye meza tukubaliane ni muungano gani wanautaka
japo dukuduku langu sijui kama hawa watu wanafanya tafakuri ya waliendealo nchi hawana hata uwezo wa kuripia gharama za umeme hawajiwezi kulipia wafnyakzi bira kutegemea budget ya muungano
greater thinker hawa watu vip na hili limekaaje?

Huu ndio wakati na sisi Watu wa Tanganyika tufanye Maandamano ya kukataa Muungano au tuombe Serikali 3 kwa kuithamini na kuijali nchi yetu ya Tanganyika na utaifa wetu wa Tanganyika...kuliko kukaa kudharauliwa siku zote na hawa Wazanzibari kwa kutokutuona sisi si WaZalendo wa Taifa letu la Tanganyika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom