Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar wabaa kutokurudi nyuma kudai uhuru wa nchi yao kutoka kwa Utawala wa Mabavu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 4, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,698
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  [h=1]Soma Alnuur kila Ijumaa[/h]Posted on May 4, 2012 by zanzibaryetu
  [​IMG]Wazanzibari wakiitikia dua iliyosomwa na Kiongozi wa Uamsho na MIhadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheikh Msellem Bin Ally katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,619
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  ..mje na huku Tanganyika mtondoshee mawaziri wenu kwenye wizara zisizohusiana na muungano.
   
 3. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,698
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  There is no longer without end, ajuwe Kikwete kuwa Nguvu ya Umma wa Wananchi wa Zanzibar nikubwa kuliko Serekali yake, Hivi sasa Wazanzibar wako kitu kimoja na wameacha tafauti zao za kisiasa na kupigana na aduwi wao Muungano fake na viongozi wangagania Muungano.
   
 4. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 981
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mtoto akililia wembe mpe. Wacha wavunje muungano waone! wanataka kujua hasara kwa vitendo. Wengi wanaotaka kuvunja muungano ni Waunguja, je huko Pemba mnasemaje?
   
 5. c

  chilubi JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 1,698
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mfano wizara ipi?
   
 6. c

  chilubi JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 1,698
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu uko pemba ndo usiseme, kwani hao unaowaona unguja ni waunguja tu? Muunguja ni muunguja + mpemba
   
 7. l

  lum JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawa si watoto wanajuwa wanachokidai na wanahoja zao..mawazo hayapigwi rungu yanajibiwa kwa hoja..kero za muungano zisizo kwisha zimewafanya wazanzibar kuuhukumu kifo MUUNGANO
   
 8. k

  kicha Senior Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pmj na kua memba wa sku nyingi humu jamvini lkn wewe nii ****** na ni bora ukae kimya.
   
 9. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,634
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ee Mungu naomba Muungano huu uviunjike mapema iwezekanavyo.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,060
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  wizara ya afya
   
Loading...