WAZANZIBAR:vijana na wasomi walio wengi wa kitanganyika hawaulewi muungano

Mandi

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
382
65
Mimi nitaendalea kushangaa iwapo ikuondoa wanasheria waliopo tanganyika wasomi wa kada nyengine wanashindwa kusema na kuelezea angalau paragraf moja juu ya muungano.

Hayo sio mageni kwasababu hata humu ndani ya jamiiforum wapo watanganyika unapoongelea ishu za muungano wanazarau na kutoa manane yakashfa,mimi siwalaamu kwasabbu wapo wengine hawaulewi na wanataka wajuilishe na waeleweshe nini hasa wanzanzibar wanachokihitaji na wala hautosaidia kitu iwapo huna ufahamu wakitu fulani halawi ukaendelea kushikilia ignance idiology.

Kutokana na hali hiyo wale wote ambao watahitaji kutokuwa ma hollow heads katika suala la muungano nawapongeza na tutaendelea kuwajuilisha muundo wa muungano angalau paragraf moja kwakila cku.tukianza leo tutagusia mambo mepesi na muhimu zaid kuhusu zanzibar kabla yamuungano.zanzibar ni akipologia ya visiwa vingi vidogo vikiwepo na visiwa vikibwa viwili ambavyo ni unguja na pemba.zanzibar imetawaliwa na muarabu tokea karne ya 19 na baadae zanzibar ikaendelea na utawala wa kiarabu chini ya uangalizi wauengereza 1890s.

Kama nilivyoeleza kua nitaeleza mambo muhimu nikwamba 1963 zanzibar imepata uhuru wake kutoka kwa muarabu na rais wamwanzo wa zanzibar ni muafrika mweusi aliye na asili ya kisiwani pemba akiitwa mohammed shamte kutoka chambani pemba.ni uhuru ulioipa zanzibar mamlaka yake,hadhi yake pamoja na kutumia fedha yake na kuanzia hapo vitabu vingi vya somo lahistoria vikaanza kupotosha masheleni labda nikwasababu waandikaji ni watanganyika ambao walichukua data dhaifu na kufanya muungano dhaifu na kuwafanya wasomi wao wawe na mawazo dhaifu juu ya muungano na kutowaelewa wazanzibar wanataka nini.

Tukiendelea badala yakupata uhuru wa 1963 disemba serikali ikaishu kwa cku zisizozidi 42 na hapo 12 january 1964 mapinduzi yametokea yakiongozwa na john okelo kutoka kaskazini mwauganda alieletwa zanzibar chini ya mwamvuli wa nyerere na kwanini asiletwe na karume?

Hali hyo ya mapinduzi hadi leo unapowauliza wasomi kutoka bara wanakwambia aliyepinduliwa ni muarabu kutoka oman chakushangaza na kati yao hao wanashahada ya somo la histori.

Swali langu ni kwamba, je, hivi ndo hali halisi wanavyoambia mashuleni ama ni vitabu vya nyangwine ndo vinavyosema ama ni uvivu wakujifunza?

Kwa vile muungano huu umedumu miaka 48 sasa bado wapo hao hao wanaojiita kama niwasomi wakitanganyika amesahau na kujitapa kwamba tukivunja muungano wazanzibar watakula nini?

Hapo wamesahau kwamba muungano huu ulifanyika 26.4.1964,basi wasiojua wajiulize kabla yahapo zanzibar palikuwa hapana watu nakama walikuwepo walikua wanakula kitu gani? inaendelea
 
Back
Top Bottom