Elections 2010 Wazalendo: 14 oct ni siku ya kujipanga kitaifa kulinda na kupokea mabadiliko

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo tayari tumeona dalili zake yanafikiwa kwa AMANI.

Hili halipaswi kuwa suala la chama Tawala wala Mbadala bali lichukuliwe kama jukumu la kila Mtanzania Mzalendo mwenye nia thabiti ya kuiletea mabadiliko chanya nchi yake. Miongozi mwa shughuli muhimu katika siku hii iwe ni:


  1. Kuchanga fedha kufadhili mabadiliko tuyatakayo. Ebu tupendekeze na kuratibu jinsi ya kufanikisha zoezi hili
  2. ..............................
  3. ...............................
  4. ...............................
 
Back
Top Bottom