Waza kama kikwete angechukua nnchi mwaka 1995

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Najaribu kufikiri kama kikwete angeichukua hii nchi mwaka 95...akiwa kijana zaid,yafuatayo nafikiri yangekuwa yametimia:
1.nchi ingekuwa imeshaisha namaaniisha tanganyika ingeshapotea kwenye uso wa dunia
2.kwa sasa
ukombozi wetu ungeshakamilika,namaanisha tungekuwa huru,mbali na dudu ccm
ongeza plz
 
Back
Top Bottom