Wayajua haya ya washiriki wa BBA toka TZ?

ila hii kamati ya BBA Tanzania itupe sifa na vigezo vya kushiriki huyo alietoa mada naona ana maana yake na ameona mbali


unajua FL nini, huyu dada ni mjinga sana kwanza ukimwangalia tu luningani na kama najua pyschology za watu unajua kuwa hu dada yupo kundi la sanguine.hapo ndo nimemweka mimi na pia ana mnara wa kiburi, dharau na majivuno. huyu hayuko kwenye kundi la melachoric,phlegmatix au choleric.
 
Nyie mnaomshikia bango,

Wenyewe mnasema kinamatatizo fulani kimeficha kwenye kifua. Frustration hizo zinampeleka mtu kusema mambo mengi ambayo huwa hayatakiwi kusemwa. Nimeshaona watu kama hao wengi sana. Waarabu, Waethiopia, Mamulato nk ambao wakiwa na Wazungu, hujifanya kuwa wao si Waafrika. Nilishawahi kukaa na kijana kutoka Guyana English (kwa akina Edy Grant). Huyu jamaa mwanzo alikuwa akijiita yeye ni Mu-America. Akawa anashangaa sisi tuna pesa kumzidi hata yeye.
Hao wengine juu walikuwa wakienda kwa Wazungu wakipigwa Kibuti, ndiyo wanarudi na kujifanya eti na wao Waafrika. Sisi tulikuwa tunawacheka tu na wala hilo halitupi kabisa pressure. Cha ajabu wakifika kwenye Disco, utashangaa na wao wanataka BIG, 2Pac, Blackstreet, Kut Close, Whitney Houston, Bobby Brown, Jay-z nk

Huyo dada na nyie wote mnaomshupalia, wote mko sawa. Kama kasema au hakusema, hajawahi kumegwa au kamegwa na Mpingo, wewe linakuhusu nini? Na hata kama alikuwa akitembea na Mpingo na wakalala kitanda kimoja, una uhakika gani kwamba jamaa alimega? Wanaume wangapi hujisifu kuwa amemega kumbe ukweli ni kuwa kijogoo hakikusimama au mdada yuko kwenye siku zake?

Burn homeboy, drop kabisa hilo wazo la kwenda kumhoji maswala hayo. Labda kaa naye na ufanye utafiti ni kitu gani kimemsibu mwenzetu na kumpa tu ushauri awaombe hata watu wake wa karibu au Wazee wa busara na wao watampa mawazo mazuri tu. Umkanye mambo ya kuropoka ropoka na akiweza kama mmoja alivyoshauri, basi aende shule. Shule itamsaidia kuanza kupima yale anayoyasema na asiwe mtu wa kuropoka vishekesho.

Burn, kama huyo dada anasema "angelipata laki mbili basi angelikuwa among 5 richest Tanzanias" basi huyu ndiyo wa kuumbuwa? Si wa kuonea HURUMA na kumsaidia? Inabidi wampeleke Kahama, akaone matajiri wa pale wengi tu wanazidi hizo pesa.

Nendeni mumpe ushauri, auze magari yake na aende shule. Vitu anavyosema hadi vinatisha. Shule itampa fursa ya kuiangalia hii dunia vingine kabisa. Tafadhali, tafadhali, Watanzania tubadilike. Tusiwe watu wa kuangalia na kucheka mtu. Tuangalie kwa nini hali iko vile na kumsaidia mtu. Wakati Brenda Fassie kawa mbugia miunga, hadi siku moja wameokotwa akiwa HOI na rafiki yake ameshakauka, hawakumpiga picha na kumuacha ajifie mwenyewe. Walielewa kuwa binti sifa zimemzidi na kasindwa kuvumilia. Alilazwa na kutibiwa chini ya usimamizi wa Madiba na mwenyewe na alipopona, hata nyumbani kwake hakurudi. Yeye alienda kukaa kwa rafiki yake wa Jela Mandela aitwaye Tokyo Sexwale. Mtoto wake alipelekwa kwenye familia ya Mbeki na baadaye UK. Hivi ndivyo inatakiwa kuwa. Mipingo tunatia aibu maana hata Tembo wanatuzidi. TUBADILIKE SISI WOTE (hata mie).
 
Ha ha ha ha ha ha mengi yatasemwa hapa by the way ngoja tusubiri kifua chake kilichojaa mambo mengi labda atatapika kidogo
 
Kandambilimbili ndugu yangu asante kwa kunifumbua macho nilikuwa sijui kama washiriki wa tanzania BBA wote wana kaharufu ka uzungu uzungu, yaani hata siamini, maana nilikuwa najiuliza ni kwanini tunapeleka viswaglish kule ina maana hakuna english kweli kweli, kumbe ni mchanganyo wa hali ya juu. Eliza ametolewa kihalali maana alizidisha nyodo kwa kaka wa watu wa ki-nigeria hadi nilikuwa namwonea huruma. Thanks!
 
Sio mbaya kama soga zikiwa niza heshima, maana sometime ukiwa busy sana unaweza kupata matatizo, ukilainisha ubusy kwa soga kidogo inakuwa powa kweli kweli. upo ndugu yangu Abdulhalim?
 
Hapo utakuwa unamkomoa au unajikomoa na wewe mwenyewe? Huoni utakuwa unajidhalilisha au ndio sifa kwa wanaume?
hehheheehe....halafu wanaume wengi sana humu jamvini naona mmejali sana statement ya psycobeth ya kutolambwa na mweusi hehehe...jamani ni vijimambo tu hakukusudia kuziumiza ego zenu hehehe....utoto unamsumbua ila mh...huyu dada nadhani psychologically kufa kwa baba yake kulimuathiri sana..i think she is angry at him for leaving them and angry at the world for all the problems she and her family have gone through....i really feel sorry for the girl. Pamoja na kumpigia kura lakini im glad amerudi...huko mbele alikokuwa anaenda angeharibu vibaya zaidi.......
 
Sio mbaya kama soga zikiwa niza heshima, maana sometime ukiwa busy sana unaweza kupata matatizo, ukilainisha ubusy kwa soga kidogo inakuwa powa kweli kweli. upo ndugu yangu Abdulhalim?

Kusogoa ni national sport lolz
 
mimi alinikera alipo jitangazia kuwa katika maisha yake hajawahi kugawa ile kitu kwa mwafrika.

yaani alikera mpaka basi huku akitegemea kuwa hao wafrika ndo wampigie kura ya kuchukua mihela.

Kweli anastahili kusaidiwa

Jamani mwache a-express feeling zake, wewe ukisema hujawahi mgawia mzungu itakuwa ni dharau? ni sawa na mmaksai akisema hajawahi kula samaki, siyo kwamba amemdharau anayekula samaki.
Kushiriki na mzungu ni uhuru wake, shida kasema ukweli? huo ni mtazamo wake na inategemea pia na mazingira aliyokulia, aliyoyana kama siyo katendwa.

Tunamtakia kila la heri na mzungu wake.
 
Ametuwakilisha vyema Elizabeth sema tu yupo very sensitive.. Kila mtu ana raha/matatizo yake kwenye personal life..Karibu tena bongo bibie japo bila kitita ila yote heri!!
 
mimi alinikera alipo jitangazia kuwa katika maisha yake hajawahi kugawa ile kitu kwa mwafrika.

yaani alikera mpaka basi huku akitegemea kuwa hao wafrika ndo wampigie kura ya kuchukua mihela.

Kweli anastahili kusaidiwa


kwa maana hiyo she is into them games :confused::confused::confused: where white man love them most.
 
Acheni ujinga kwani mmeona Big Brother mahali pa ngono mpk amkubalie yuele Mbata! Au ndo mnataka sifa ya Bongo ichafuke kuwa watoto wetu wa kike waachiaji! Ila kana majivuno si uongo asingemtaja mzungu wake ndo aliyembikiri!
 
ila hii kamati ya BBA Tanzania itupe sifa na vigezo vya kushiriki huyo alietoa mada naona ana maana yake na ameona mbali

HILO NALO NENO, hivi ni kwanini asingeongelea constructive story kuhusu nchi yake? yako mengi tu ukichukulia aliwahi kuwania UMISS LUNDENGA? kama utalii mbona Richard aliinadi sana Zanzibar mpaka Tatiana na Big Brother wakaja kutembea? na hata washiriki wengine waliitamani sana, yeye anaishia tu kutoa stori za Liyumba na jinsi alnavyoongwa magari these are too common kwa nchi zote na HAZILETI SIFA YOYOTE NZURI KWA nchi, yeye alienda kutubomoa au kujenga? mare eeeh kizazi cha zamani cha watanzania hawajui ENGLISH may be KIZAZI KIPYA ndio wanaweza kuongea LUGHA hiyo, wapi bwana weweeee, mchokoze mkapa uone kiingereza chake, wewe mwenyewe utabrooooo.
 
Acheni ujinga kwani mmeona Big Brother mahali pa ngono mpk amkubalie yuele Mbata! Au ndo mnataka sifa ya Bongo ichafuke kuwa watoto wetu wa kike waachiaji! Ila kana majivuno si uongo asingemtaja mzungu wake ndo aliyembikiri!

HILO umelitoa wapi???? mwenzetu mbona unaenda nje ya TOPIC? Au wewe ndio unawaza ngono?????? unajua sometimes ukiwa unasoma article huku unawaza mambo fulani basi lazima utaona na yenyewe inaelekea huko huko, pole mwezetu.
 
Acheni ujinga kwani mmeona Big Brother mahali pa ngono mpk amkubalie yuele Mbata! Au ndo mnataka sifa ya Bongo ichafuke kuwa watoto wetu wa kike waachiaji! Ila kana majivuno si uongo asingemtaja mzungu wake ndo aliyembikiri!

hatuko hapa kuharalisha ngono Geza Ulole lakini ulivyowahi fasta loh
inakuwaje hapo?
 
Mimi nadhani tumsaidie huyu binti halafu tutaona improvement... BUt i am glad she is out kwasababu ilibaki kidogo tu aharibu kabisa, elasticity ilifika mwisho na fusi zilikuwa zinaachia


Twashukuru Mola kwa hilo,kanaonekana kana nyodo sana uswazi tungekoma kama angezoa madola,hata hivyo pole sista,grow up
 
Tusimuonee sana Kelvin, na dada yetu nae alichangia kwa kiasi fulani kumfanya kijana awe king'ang'anizi. Kelvin hawezi kuwa mjinga kiasi kwamba aende kutangaza kwenye diary session kwamba, "he is almost there" bila ya kuwa na signal.

Eliza anasema amemwambia Kelvin mambo mengi sana ambayo hata best friend wa Eliza hayajui. Eliza amezuia Kelvin asipate msg kutoka nyumbani badala yake Eliza ndiyo atapeleka msg kwa dada zake Kelvin kwa kuwa ana namba zao za simu. Jamani, urafiki wa kawaida mpaka mnakwenda kupeana details za familia na kuambizana mambo ambayo "best friend" hayajui?

Mtazamo wangu ni huu, Eliza alikuwa "sitaki nataka", jibu lake la NO halikuwa firm kwa kuwa bado alikuwa anaonyesha signals za kutaka kuendelea kuwa close na Kelvin. Alifanya hivyo kwa makusudi ili aendelee kumtumia Kelvin kwa kuwa ndiyo housemate pekee ambaye alikuwa yuko close nae.

Iwapo angesema NO ambayo iko firm, alihisi may be kijana nae angeanza kum-avoid kama housemates wengine na hivyo kujiweka kwenye mazingira magumu sana. Iwapo angesema YES, Kelvin lazima angetaka zile kumbikumbi style kama JEMMA, ikiwa ni pamoja na kula denda na ku-have some wakiwa ndani ya Jumba na msichana hakutaka hayo yatokee.

Kwa jinsi Eliza alivyomsifia Kelvin siku ya eviction, Kelvin akiamua kumfuatilia Eliza nje ya BB (huku mtaani) ninashawika kusema anaweza akafanikiwa.

Kuna viashiria ambavyo vinaacha maswali mengi:

Kwanini Eliza alilia siku alipoambiwa na Kelvin kwamba, "kama Eliza kazowea ku-date wazungu, basi urafiki wao usingefika popote". Je, ulikuwa ni urafiki gani ambao alikuwa ana u-refer? Urafiki wa kawaida na ku-date vina uhusiano gani?

Siku Kelvin alipom-kiss Paloma, Eliza alimhoji kwamba kwanini alifanya hivyo kama yeye (Kelvin) hakuwa anajisikia kufanya kitu hicho? Kwani angegoma wangemfanya nini? Lakini it was just a game, but Eliza took it so serious.

Same Eliza siku nyingine kukawa na mchezo mwingine, alipaka something kwenye nipples za Kelvin na akazinyonya. Kweli kwa mtu ambaye unasema humtaki, unaweza kumnyonya nipples?

Sioni sababu ya kumbebesha Kelvin mzigo wote wa lawama, dada yetu naye anastahili sehemu ya hiyo lawama. Hakuwa firm kwenye jibu lake la NO. NO yake ilikuwa ni ile ya hesabu za logic kwamba NO + NO = YES!

Jamani hakuna mwenye update kule alikolala jana maake walisema watamhoji kuanzia saa tatu.bado tu.
Tupe updates tafadhali
 
Back
Top Bottom