Wayahudi Walimpinga Yesu Itakuwa Gaucho?

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Sota tunajua mizengwe iliyofanywa Gaucho akapata hicho cheo,
Yeye ni mdhambi kwa nini asiondolewe. Anaharibu mipango mingapi mizuri ya nchi yetu?
Hata anayelia lia kutaka kuhurumiwa ni vizuri aanchie ngazi tumeshamchoka
Mijitu minginee imechoka hadi nywele imebaki ni ubabe tuu hadi mjengoni?

Yesu alikataliwa licha ya kuwa alikuwa anawafanyia mema wayahudi, kwani Gaucho ana nini zaidi kutuharibia nchi?
 
Ufafanuzi mkuu
 
Huyu Gaucho ni nani?...na mizengwe ipi inayohusika na cheo chake_hebu funguka mkuu.
 
Back
Top Bottom