Waxn jamani wax, miguuni, kwapani na ...........

Huko saloon kuna wataalamu zaidi, na pia huduma nyingine pia zinapatikana endapo mtu atazidiwa, maana inasemekana mashoga na wasagaji pia ndio sehemu za kupatia wateja.
Mkuu Katavi, unahuwakika na unachokisema? au na wewe unaleta porojo za kijiweni? siku moja nitakupa ofa ya detoxification pedicure uone raha yake. Kwenye salon za kiprofeshino huwezi kuta mambo ya wasagaji wala mambo ya ushoga
 
Naona mshikachuma unatetea sana, kuupenda mwili wako si kwenda kupeleka uchi ukashikwe na kuchunguliwa, jua mwili ni hekalu la roho mtakatifu ati!! Yani utandaze mapaja na kuvua chupi unyolewe? Mtu akushike kitu chako Mshikachuma weweeee. Au mumeo anaenda kunyolewa ukochini wanamshika sehemu zake
 
Teh teh waxing muhimu..
Saloon miguu na eyebrows tu..
Bikini line na kuendelea peke yangu mmhh
Mpahj
Mmpaka nimpate Mr. Right teh teh teh
Ntamuwax ndevu na ye atamali zia mmmhhhh
 
Naona mshikachuma unatetea sana, kuupenda mwili wako si kwenda kupeleka uchi ukashikwe na kuchunguliwa, jua mwili ni hekalu la roho mtakatifu ati!! Yani utandaze mapaja na kuvua chupi unyolewe? Mtu akushike kitu chako Mshikachuma weweeee. Au mumeo anaenda kunyolewa ukochini wanamshika sehemu zake
Dada Pretty,kwanza mie ni wa kiume na si wakike "i'm he and not she". Dada amini nikuambiacho salon ni sawa na hospital tu. unapomfanyia mteja waxing au body massage huna budi kuwa kama doctor fulani hivi.....kwanza unamsikiliza ni kitu gani kimemleta pale,kisha unamuuliza maswali mawili matatu kuona kama kweli kitu kilichomleta anakijua nje ndani....na kama hakijui basi huna budi kumwelimisha kabla ya kumpa huduma anayotaka huku ukiangalia ngozi yake ikoje. Na kuhusu waxingi - kwanza wateja wa waxing waliowengi ni wakina dada na wakina mama wa makamo hivi. Wamama walio wengi hupenda kufanya waxing ya full legs,underarm,na arms tu basi....lakini wadada waliowengi wanapenda kufanya bikin line (sehemu za siri) ikifuatiwa na full body waxing sometime. Inauma sana kama haujaizoea na hasa ikiwa ndiyo kwanza umekuja anza first time. Pia hii kazi inamiiko yake....uingiapo chumba cha beauty clinic na mteja siri inakuwa kati yako na mteja! si vizuri au haipendezi utakapo huko uanze kubwabwaja kwa watu wengine kitu ambacho ulikuwa unakifanya kule ndani. ukiwa na tabia hiyo basi ujue wateja wote watakukimbia na kama hiyo sehemu umehajiriwa ni rahisi sana kufukuzwa kazi na mwajiri wako.
 
Teh teh waxing muhimu..
Saloon miguu na eyebrows tu..
Bikini line na kuendelea peke yangu mmhh
Mpahj
Mmpaka nimpate Mr. Right teh teh teh
Ntamuwax ndevu na ye atamali zia mmmhhhh[/QUOT
Dada Afrodenzi, kwa taharifa yako wateja waliowengi hasa wanawake wameolewa na kama wanaume wameshaoa. kwa hiyo usifikiri hawa wanaokuja kufanya hizi huduma kuwa wako single la hasha' amini nikuambiacho ukienda fanyiwa hivi vitu salon kuna raha yake! si kwa mwanaume si kwa mwanamke......ila kwa uelewa wangu salon za kiprofeshino ni gharama kiasi fulani.
 
Nakuhakikishia hakuna salon yoyote inayofanya hicho kitu ndani ya bongo....hilo ni tatizo lililoegemea kwenye ugonjwa na ni lazima uende hopitalikumuona dr. Kwenye hizi salon zetu za bongo unaweza tolewa chunusi za sura yako,lakini si sehemu hiyo uliyoitaja
Mbona zipo nyingi tu, wewe unaishi wapi? Mimi huwa napenda kufanya waxn ya underarms natumia saloon inaitwa 'chic saloon' iko PPF House na ni wasafi na very professional. Wananiambiaga nijaribu waxn ya huko chini lakini nina aibu sana. Ila waxn ni kitu cha kawaida na sio cha kihuni.
 
Back
Top Bottom