Wawili wafa pale pale mjini singida

Mroojr

Member
Nov 15, 2010
65
8
Watu wawili wafa pale pale muda mfupi uliopita baada ya kugongwa na gari iliyokukuwa ikivutwa na gari ingine. Waendesha piki piki hao waligongwa na kufa papo hapo baada ya bomba lililotumika kuvutia gari hiyo kukatika na gari hiyo kuhama njia na kuwakuta wahanga hao.
 
Asante kwa taarifa ndugu ila taarifa haijakamilika. Wapi ajali imetokea na nani kakwambia au kma ni wewe umeshuhudia eleza vizuri kwa undani ilikuwaje waendesha pikipiki wakafa?
 
Back
Top Bottom