Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Naji contradict vipi? Unafikiri ukiamua kucheat utakuwa umenikomoa mimi? Mimi siogopi matatizo ya ki ukweli. Hayo ya kuwinda mwanamke nyuma mwanaume aliyekamilika hana muda nayo. Maana utakuwa unaongozwa na hisia na si lazima kuwe na ukweli... akicheka kosa, akisalimiana na mtu kosa, akichelewa kurudi kosa. Wewe unafikiri hayo yatakuwa maisha? Najiamini kabisa natimiza wajibu wangu na sina muda wa kutafuta matatizo yasiyokuwepo. Nyinyi mnaoona hayo ndio mapenzi kila la kheri

Mwanaume wa ukweli haogopi chochote. Hata aje simba ndani ya nyumba atakuwa yuko tayari kufa kulinda familia yake seuze kulinda heshima yake dhidi ya mwanamke anayemvunjia?

Labda siku hizi fasili ya uanaume wa kweli imebadilika lakini kwangu mwanaume ambaye yuko delicate na ambaye hapendi kujua ukweli kisa anaogopa kuumizwa huyo kwangu siyo mwanaume kamili. Ni mwaname wa kuchorwa huyo.
 
Hata ukiona dalili za mienendo iliyo na mushkeli bado hutataka kujua kulikoni? Na mwanaume gani aliyekamilika ambaye ana hisia tete na anayeogopa kujua ukweli kisa hataki kuumizwa? Hebu jifanyie tathmini upya ya huo uanaume wako.

Mkubwa kama kuna mienendo isiyo ya kawaida na bila kujua inasaabishwa na nini then ntafuatilia kujua tatizo hasa ni nini. Lakini kama mienendo hiyo haipo sina huo muda. By the way mimi niko very sensitive...I observe more and digest with my brain kuliko kukurupuka na kusema bila kuwa na facts.
 
Kumbe uko sensitive....haya sasa nimekuelewa....lol

Sisi wengine hatuko sensitive na delicate kihivyo.
 
Lakini tukienda nyuma na kurudi mbele kuna wanaume ni wajanja...wana hakikisha wake zao wanaonekana 20 years older than their age...ili hata salamu wasipate barabarani

Sasa hao usitegemee watakuwa na wasiwasi wowote wa kuibiwa. Lol.
 
Ukijua itakusaidia kufanya informed decision ya kulinda heshima yako.
Utalindaje heshima yako hapo? Labda ukiniambia afya yako nitakuelewa. Heshima ni kumwacha na kuacha, utaacha wangapi? Na utajuaje kama hujaruka majivu na kutafuta moto?
 
Hata hiyo methali ya 'kuruka majivu na kukanyaga moto' chimbuko lake ni uoga na si ujasiri.

Utalindaje heshima yako hapo? Labda ukiniambia afya yako nitakuelewa. Heshima ni kumwacha na kuacha, utaacha wangapi? Na utajuaje kama hujaruka majivu na kutafuta moto?
 
Lakini tukienda nyuma na kurudi mbele kuna wanaume ni wajanja...wana hakikisha wake zao wanaonekana 20 years older than their age...ili hata salamu wasipate barabarani

Sasa hao usitegemee watakuwa na wasiwasi wowote wa kuibiwa. Lol.

Kua uyaone wewe
cheating haina age
wapo watu in their sixties wana cheat hadi aibu ukioneshwa..
 
Utalindaje heshima yako hapo? Labda ukiniambia afya yako nitakuelewa. Heshima ni kumwacha na kuacha, utaacha wangapi?

Hiyo ya utaacha wangapi ndiyo ujinga ambao sikubaliani nao!! Mimi hata milioni moja nitawaacha.

Kamwe sitakubali kubaki na mtu ambaye haniheshimu, ambaye haheshimu ndoa ama mahusiano yake na mimi, na ambaye ananidhalilisha kwa kutembea na watu wengine kisa eti naogopa nitaacha wangapi.

Heshima na taadhima yangu ina thamani kubwa sana kuliko hofu ya idadi ya nitakaowaacha. Kwa hiyo, ima fa ima, hata wawe bilioni moja, nikivunjiwa heshima yangu nitawaacha.

Na utajuaje kama hujaruka majivu na kutafuta moto?

Nitajua mbele ya safari. But I will never settle for less just out of fear. Never ever.
 
Kuchunguza siyo kosa ila issue ni "WHEN" na "HOW"kupekenyua nyeti za mkeo ni udhalilishaji hata mimi napinga...ila kuna njia nyingi tu za kufanya upelelezi ambazo si za kidhalilishaji...ukizingatia technologia imerahisisha kazi.Hata kupendwa hakulazimishwi vile vile...ndio maana watu tunataka kujua ukweli ili tujue 'the time to run...to walk away...or to stay'
Kama mnatafuta ukweli wa hivyo mtaupata tu. kila la heri!
 
Kumbe uko sensitive....haya sasa nimekuelewa....lol

Sisi wengine hatuko sensitive na delicate kihivyo.

I am not delicate kabisa ndo maana sina muda wa kuhangaika na kumfuatilia mwanamke nyuma. Na yeye anajua hivyo kwamba am tough...am more sensitive kwenye mambo yanayoijenga familia yangu...nyumba lazima iwe nyumba na hasa watoto maana wao wanatutegemea sisi 100%. Sasa hii haimnyimi mke wangu uhuru wa association kwasababu ntamwambia anacheat...ndio maana anajua wajibu wake na anautimiza. Sasa hayo mambo ya kumlinda na kutaka kujua ameacheat ntaanzia wapi? Ndio maana nasema mimi mwanaume nimekamilika...kwangu vita yangu ni kubwa kuliko hiyo ya kutafuta yasiyokuwepo.
 
Hiyo ya utaacha wangapi ndiyo ujinga ambao sikubaliani nao!! Mimi hata milioni moja nitawaacha.

Kamwe sitakubali kubaki na mtu ambaye haniheshimu, ambaye haheshimu ndoa ama mahusiano yake na mimi, na ambaye ananidhalilisha kwa kutembea na watu wengine kisa eti naogopa nitaacha wangapi.

Heshima na taadhima yangu ina thamani kubwa sana kuliko hofu ya idadi ya nitakaowaacha. Kwa hiyo, ima fa ima, hata wawe bilioni moja, nikivunjiwa heshima yangu nitawaacha.

Nitajua mbele ya safari. But I will never settle for less just out of fear. Never ever.

if you don't mind
'heshima na taadhima yako' tafsiri
na english version pia
 
I am not delicate kabisa ndo maana sina muda wa kuhangaika na kumfuatilia mwanamke nyuma. Na yeye anajua hivyo kwamba am tough...am more sensitive kwenye mambo yanayoijenga familia yangu...nyumba lazima iwe nyumba na hasa watoto maana wao wanatutegemea sisi 100%. Sasa hii haimnyimi mke wangu uhuru wa association kwasababu ntamwambia anacheat...ndio maana anajua wajibu wake na anautimiza. Sasa hayo mambo ya kumlinda na kutaka kujua ameacheat ntaanzia wapi? Ndio maana nasema mimi mwanaume nimekamilika...kwangu vita yangu ni kubwa kuliko hiyo ya kutafuta yasiyokuwepo.

Mtu tough anaogopa kukabiliana na ukweli kisa hataki pressure? Get outta here.
 
Hata hiyo methali ya 'kuruka majivu na kukanyaga moto' chimbuko lake ni uoga na si ujasiri.

teh teh teh...maisha yalivyo bwana, si mchezo wa kuigiza. Ndo maana siku hizi ndoa zinavunjika sana nyumba kubwa. Watu tunaendeshwa na hisia zaidi naona...
 
Nimeupenda msimamo wako. Hakuna kuogopa kufanya maamuzi magumu bana!

Unakuta mtu mke anagawa tu uroda mpaka mtaa unamuita mume bhwege...afu ajitetee kuwa ataacha wangapi???

Tena hata heshima inashuka hadi ground level.

Wewe chunguza wanaume ambao wake zao ni pichu mkononi...huwa wanatembea wameangalia chini maana wanaisi dunia inawacheka na wala haiwaheshimu kwa "kulind ndoa zao' kwa stahili ya mpaka kifo kitutenge.

Hiyo ya utaacha wangapi ndiyo ujinga ambao sikubaliani nao!! Mimi hata milioni moja nitawaacha.

Kamwe sitakubali kubaki na mtu ambaye haniheshimu, ambaye haheshimu ndoa ama mahusiano yake na mimi, na ambaye ananidhalilisha kwa kutembea na watu wengine kisa eti naogopa nitaacha wangapi.

Heshima na taadhima yangu ina thamani kubwa sana kuliko hofu ya idadi ya nitakaowaacha. Kwa hiyo, ima fa ima, hata wawe bilioni moja, nikivunjiwa heshima yangu nitawaacha.

Nitajua mbele ya safari. But I will never settle for less just out of fear. Never ever.
 
Mtu tough anaogopa kukabiliana na ukweli kisa hataki pressure? Get outta here.

Mkuu wewe sio mimi na mbinu zako za uwanja wa mapambano si lazima ziwe za kwangu. I want to become a winner at the end of the day. Wewe si uko tough bwan...endelea na safari yako ya uchunguzi. Lakini kwa kusoma tu mistari yako inaelekea hujiamini kwahiyo unatumia misuli kuonyesha kwamba ni mwanaume uliyekamika...wengine wanatumia mengine na kila mtu akae vile anavyotaka awe. Period!
 
I do mind because I think you are not serious. Otherwise I'd be more than happy to break it down for you.

please break it down...
naweza kuona najua kumbe sivyo
so hapa waweza saidia wengi pia
Usisahau siku hizi kilatunapojadili MMU issues swala la tafsiri ya maneno linajitokeza
 
Nimeupenda msimamo wako. Hakuna kuogopa kufanya maamuzi magumu bana!

Unakuta mtu mke anagawa tu uroda mpaka mtaa unamuita mume bhwege...afu ajitetee kuwa ataacha wangapi???

Tena hata heshima inashuka hadi ground level.

Wewe chunguza wanaume ambao wake zao ni pichu mkononi...huwa wanatembea wameangalia chini maana wanaishi dunia inawacheka.

Ajidhaniaye amesimama....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom