Waweza tambua kinachofanywa na hao watoto katika hiyo reli?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
IMG_3572.jpg
 
No daily train now days bwana so sometimes watoto waweza cheza hata ball ktk reli,its future imposible continous tense.
 
Wewe ulioipiga hii picha ulikua unafanya nini hapo pembeni? hebu tueleze kwanza..
mkuu LexAid Hawa watoto wanafanya uharibifu ndani njia ya reli kama kwamba Polisi wa reli hawako hapo sio kitu kizuri wanachofanya hapo hao watoto.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu, polisi wa reli hawawezi kukaa kwenye railway yote tangu dar mpk kwa kina Zito.

Ulipomaliza kupiga picha ulipaswa kuwapa ilmu hao madogo. Sanasana mi naona wanamtafutia lawama Mwakyembe kama wapo inapopita dala dala yetu
 
Last edited by a moderator:
hawa wameshashiba wametafuta sehemu ya kupumulia hewa ya kaboni dio saidi
 
mkuu
LexAid Hawa watoto wanafanya uharibifu ndani
njia ya reli kama kwamba Polisi wa reli hawako hapo sio kitu kizuri
wanachofanya hapo hao watoto.

dah best hii ni ndoto hapa mitaani polisi baadhi ya mitaa hawafiki doria ni wachache unataka wapige doria reli mmmm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom