Wawekezaji wengi kutoka nje wamepewa ulaji tu, miradi ni ya mafisadi

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nina haki ya kusema ninavyoamini. Kwakuwa makampuni mengi ya nje yamejionesha kuwa eidha ni mali ya waTZ na viongozi wa CCM naamini pia kuwa waweklezaji wote matapeli kwenye madini na secta mbali mbali nchi ni wezi walioletw na kina ROST TAMU kuwafanyia kazi.

tujadili
 
Tujadili nini wakati hujatoa mfano hata mmoja wa hayo mashirika na wamiliki wake ni akina nani?
 
Kwa mfano hili jengo lilipo kona ya haile salasie na chole ni la nani?
Nanani yuko nyuma yake?
 
Back
Top Bottom